Tupige kura: Ni mwanamke gani smart na mrembo kuliko wanawake wote humu jamvini?

Tupige kura: Ni mwanamke gani smart na mrembo kuliko wanawake wote humu jamvini?

Hahhahahha labda anaona akisema ananijua nje ya jf itampa sifa na umaarufu. Wanasema ogopa sana Mungu na Technology. Yeye mwenyewe amesema ana fake halafu anategemea mimi nisifake. Ama kweli “it takes one to know one”. Asante kwa screenshots 🙏🏽

Huyo hanijui na hatokaa anijue mimi ni nani nje ya jf. Mimi sio mjinga wa kukutana kutana na wana jf coz sifanyi biashara na sitafuti marafiki. Its Pancho mwenyewe tulijuana nje ya jf.

Huyo anachokijua ni taarifa ambazo mimi nimeamua zijulikane ambazo alikesha usiku na mchana kusoma tangu nilipojiunga jf hadi leo (kukosa kazi bhana). Na pia hatokaa aweze kuthibitisha ni za kweli au ni za uongo.

Hizo picha anazotamba ameziona huko selfika nazo hana uhakika ni kweli ni mimi au sio mimi😂😂. Ndio maana amebaki kuruka ruka kama popcorn zikisifiwa anachukia. Na nilivyo mtu mbad picha zenyewe huwa sizifuti alijisumbua tu kukimbilia kuzihifadhi maana zipo kule sijafuta😂😂

Ila kuruka ruka kwa popcorn ndio kuiva kwake yaani mpaka asemee.
Mbona hata mimi nakujua ni kibonge mfupi mweusi na una komwe..😀 ila siongei.
 
Looooord! Aisee haya maisha sio poa, ni vyema kuishi na watu vizuri kila wakati.
Kama hivi unakutana na mtu huna habari kumbe yeye anakujua!

Asante mwaya, hii kutoka kwa mwanamke mwenzangu means a lot! [emoji7][emoji120]
Hivi hujawahi kushare picha yako hata kwa kuficha sura humu, hata mimi huwa nahisi uko katika list ya wazuri humu jukwaani, mtani na mleta ubuyu wetu mahiri wa jf
 
Ila dogo wewe ni muongo sana. Nimepitia pitia nimepata machache. Kwa maelezo yako unamjua Hannah vizuri sana nje ya hapa. Ila wewe mwenyewe unakiri umemjua kupitia uzi wa selfika aliweka picha kule ukaona hizo taarifa zipo wazi. Mwanaume kuzusha zusha mambo sio tabia zetu.

View attachment 2846645

Unamsema anafake maisha huku na wewe unakiri huwa unaandika taarifa zako za uongo una akili kweli? Kwanini unataka yeye awe anatoa za kweli? Nimekupa na ushahidi. Acha wivu wa kike dogoView attachment 2846646View attachment 2846647
Nakupa somo la bure, Kuna tofauti Kati ya uongo na utahira. Anachofanya hanna ni utahira

Mm nikisema naendesha bodaaboda wakati uhalisia siendeshi bodaboda huo ni uongo. Ila nikisema naendesha bodaboda alafu mmoja wa wateja wangu ni Mama Samia, huo ni utahira sababu ni kitu ambacho hakiwezekani

Hanna sio muongo tu ni tahira, anasema ana masters alafu masters kasoma kwa miezi 6. Sasa huu ni uongo au utahira? Kuna masters ya miezi 6??
 
Wewe dogo utakuja kuchapiwa demu wako na utabisha. Watu wazima wanasema wanato.mbana wewe unabisha tukuelewe namna gani? Wewe unajua Hannah anapigwa miti na nani? Unajua huyo Its Pancho anampiga miti nani?
Acha tabia za kishoga dogo, watu wazima wakisema wanapigana miti unabisha unataka ualikwe kwenye show au?
Naona umekuja speed sana, mwenzio nimekueleza kuwa aache kufanywa ndondocha kwa kuitwa baby ikiwa sio baby kweli, naamini alinielewa.

Wewe kama unataka hii kuitwa baby ihamie kwako nitakushauri pia, huo ni upumbavu.
 
Mtu aliyejenga na anajua ujenzi kuhamia nyumba haijaisha ni kawaida sana. Tena huu usawa wa Bimkubwa hamna kinachoshikika. Huyo dogo bado yupo kwa wazazi
Kuhamia nyumba haijaisha sio dhambi wengi wanafanya hivyo
Ila mm hofu yangu na maswali yangu kwake alikua anakaaje ndani wakati madirishani kaweka nylon? Hewa alikua anapataje?
Unajua nyumba yoyote inapotaka kujengwa huwa unapaswa kupata building permit, mchoro wa nyumba unasainiwa na wahusika. Mmoja wa wahusika ni afisa afya, unajua kwa nn afisa afya anasaini?

Alafu kuhusu usawa wa bimkubwa, hapo nadhani unamuongelea Mama Samia? Si ndio? Usawa upo vipi? ni kwako unataka walie watu wote?

Naishi kwa wazazi? Mm nilihama kwa wazazi miaka 17 iliyopita
 
IMG_0552.jpg

[mention]financial services [/mention] [emoji16][emoji16][emoji16][emoji28]
 
Back
Top Bottom