Hahhahahha labda anaona akisema ananijua nje ya jf itampa sifa na umaarufu. Wanasema ogopa sana Mungu na Technology. Yeye mwenyewe amesema ana fake halafu anategemea mimi nisifake. Ama kweli “it takes one to know one”. Asante kwa screenshots 🙏🏽
Huyo hanijui na hatokaa anijue mimi ni nani nje ya jf. Mimi sio mjinga wa kukutana kutana na wana jf coz sifanyi biashara na sitafuti marafiki.
Its Pancho mwenyewe tulijuana nje ya jf.
Huyo anachokijua ni taarifa ambazo mimi nimeamua zijulikane ambazo alikesha usiku na mchana kusoma tangu nilipojiunga jf hadi leo (kukosa kazi bhana). Na pia hatokaa aweze kuthibitisha ni za kweli au ni za uongo.
Hizo picha anazotamba ameziona huko selfika nazo hana uhakika ni kweli ni mimi au sio mimi😂😂. Ndio maana amebaki kuruka ruka kama popcorn zikisifiwa anachukia. Na nilivyo mtu mbad picha zenyewe huwa sizifuti alijisumbua tu kukimbilia kuzihifadhi maana zipo kule sijafuta😂😂
Ila kuruka ruka kwa popcorn ndio kuiva kwake yaani mpaka asemee.