Tupige kura: Ni mwanamke gani smart na mrembo kuliko wanawake wote humu jamvini?

Mbona hata mimi nakujua ni kibonge mfupi mweusi na una komwe..😀 ila siongei.
 
Looooord! Aisee haya maisha sio poa, ni vyema kuishi na watu vizuri kila wakati.
Kama hivi unakutana na mtu huna habari kumbe yeye anakujua!

Asante mwaya, hii kutoka kwa mwanamke mwenzangu means a lot! [emoji7][emoji120]
Hivi hujawahi kushare picha yako hata kwa kuficha sura humu, hata mimi huwa nahisi uko katika list ya wazuri humu jukwaani, mtani na mleta ubuyu wetu mahiri wa jf
 
Nakupa somo la bure, Kuna tofauti Kati ya uongo na utahira. Anachofanya hanna ni utahira

Mm nikisema naendesha bodaaboda wakati uhalisia siendeshi bodaboda huo ni uongo. Ila nikisema naendesha bodaboda alafu mmoja wa wateja wangu ni Mama Samia, huo ni utahira sababu ni kitu ambacho hakiwezekani

Hanna sio muongo tu ni tahira, anasema ana masters alafu masters kasoma kwa miezi 6. Sasa huu ni uongo au utahira? Kuna masters ya miezi 6??
 
Naona umekuja speed sana, mwenzio nimekueleza kuwa aache kufanywa ndondocha kwa kuitwa baby ikiwa sio baby kweli, naamini alinielewa.

Wewe kama unataka hii kuitwa baby ihamie kwako nitakushauri pia, huo ni upumbavu.
 
Mtu aliyejenga na anajua ujenzi kuhamia nyumba haijaisha ni kawaida sana. Tena huu usawa wa Bimkubwa hamna kinachoshikika. Huyo dogo bado yupo kwa wazazi
Kuhamia nyumba haijaisha sio dhambi wengi wanafanya hivyo
Ila mm hofu yangu na maswali yangu kwake alikua anakaaje ndani wakati madirishani kaweka nylon? Hewa alikua anapataje?
Unajua nyumba yoyote inapotaka kujengwa huwa unapaswa kupata building permit, mchoro wa nyumba unasainiwa na wahusika. Mmoja wa wahusika ni afisa afya, unajua kwa nn afisa afya anasaini?

Alafu kuhusu usawa wa bimkubwa, hapo nadhani unamuongelea Mama Samia? Si ndio? Usawa upo vipi? ni kwako unataka walie watu wote?

Naishi kwa wazazi? Mm nilihama kwa wazazi miaka 17 iliyopita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…