Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂Hawa wangekua wanajuana siri zao ugomvi ungenoga na mods wameharibu kugawa ban najua tu Vincenzo Jr alishiriki kureport kwa modsNilijua tu 🤣🤣🤣🤣🤣 usivyopenda maugomvi utachagua ya pili. Poa acha nimpotezee.
Hawa wa hapa sasa wametuacha kwenye mataa, si watafute ID zao zile waje.
Kwani wenyewe wapo wapi hata tuwapigie kura🤗.Basii tupiaamoo tupicha twao,tupigemo kura🫠Ndugu zangu japo hatufahamiani, ila kwa komenti na posti mbalimbali humu jamvini unaweza kutambua usmart wa mtu bila kumjua.
Naomba leo kwa uzoefu wetu tupige kura hapa ili na sisi wanajamvi tumvike taji la umiss mwanamke mrembo kuliko wote humu jamvini.
Nitatoa zawadi ya tsh 10,000 kwa mrembo atakaye shinda.
Twende kazi…..
👇👇👇👇👇👇
Kwani wenyewe wapo wapi hata tuwapigie kura🤗.Basii tupiaamoo tupicha twao,tupigemo kura🫠
Wewe nakupenda ni mstaarabu sana
😂😁😁😁😂Hawa wangekua wanajuana siri zao ugomvi ungenoga na mods wameharibu kugawa ban najua tu Vincenzo Jr alishiriki kureport kwa mods
Sema neno tafadhali😂😂😁😁😁
Asante, nakupenda pia ephen wetu. 😍Wewe nakupenda ni mstaarabu sana
Eti kanifata 😂😂🤣😂🤣 mjinga huwa hajibiwi. Ukigombana na kichaa, wote mnaonekana vichaa.😂Hawa wangekua wanajuana siri zao ugomvi ungenoga na mods wameharibu kugawa ban najua tu Vincenzo Jr alishiriki kureport kwa mods
Pyeeeeee ustaarabu my footWewe nakupenda ni mstaarabu sana
Humu tatizo watoto wengi Mimi humu nipo Toka 2011 humu wengi hawajui kutumia jf kazi kutukana tuSema neno tafadhali😂
Wasingepewa ban kwasababu wote walikua tayari kwa ugomvi, pande mbili zilikubaliana kugombanaEti kanifata 😂😂🤣😂🤣 mjinga huwa hajibiwi. Ukigombana na kichaa, wote mnaonekana vichaa.
Yes wasingepewa ban, hawajui wanachangamsha jukwaa. Maana ni mambo ya picha tu sijui za kudownload 😆😆😆😆
Na wewe ukiwemo😂Humu tatizo watoto wengi Mimi humu nipo Toka 2011 humu wengi hawajui kutumia jf kazi kutukana tu
Nakazia wanaolazimisha ugomvi tena kuchambana na wanawake. Huenda wote ni wanawake na hatujui.Wasingepewa ban kwasababu wote walikua tayari kwa ugomvi, pande mbili zilikubaliana kugombana
Ban zitolewe kwa wale ambao wanaforce ugomvi kwa wengine😂
Mmmh! Kuwaombea hapo watu hawana jema naogopa kujumuishwa kuchambwa Akuuu🤸😂Nakazia wanaolazimisha ugomvi tena kuchambama na wanawake. Huenda wote ni wanawake na hatujui.
Tuwaombee bana, warudi, tuenjoy jukwaa lichangamke.