Tupige kura: Ni mwanamke gani smart na mrembo kuliko wanawake wote humu jamvini?

Tupige kura: Ni mwanamke gani smart na mrembo kuliko wanawake wote humu jamvini?

Na wewe ukiwemo😂
Wewe hutukani ila una mafumbo yanayokera, kipindi kile unagombana na intelligent kila muda unamtupia mafumbo ulikua unaniudhiii ila nikaona nikikwambia utanijumlisha humohumo nikakaa kimya😂
Tena aje hapa, yale mafumbo yao hawa watoto wa kiume hawa. Nilikuwa siwaelewi, maana chanzo kilikuwa nini? Na mwenzake sijui kaishia wapi tena.
 
Back
Top Bottom