Tupige kura: Ni mwanamke gani smart na mrembo kuliko wanawake wote humu jamvini?

Kwani wenyewe wapo wapi hata tuwapigie kura🤗.Basii tupiaamoo tupicha twao,tupigemo kura🫠
 
😂Hawa wangekua wanajuana siri zao ugomvi ungenoga na mods wameharibu kugawa ban najua tu Vincenzo Jr alishiriki kureport kwa mods
Eti kanifata 😂😂🤣😂🤣 mjinga huwa hajibiwi. Ukigombana na kichaa, wote mnaonekana vichaa.
Yes wasingepewa ban, hawajui wanachangamsha jukwaa. Maana ni mambo ya picha tu sijui za kudownload 😆😆😆😆
 
Wasingepewa ban kwasababu wote walikua tayari kwa ugomvi, pande mbili zilikubaliana kugombana

Ban zitolewe kwa wale ambao wanaforce ugomvi kwa wengine😂
 
Humu tatizo watoto wengi Mimi humu nipo Toka 2011 humu wengi hawajui kutumia jf kazi kutukana tu
Na wewe ukiwemo😂
Wewe hutukani ila una mafumbo yanayokera, kipindi kile unagombana na intelligent kila muda unamtupia mafumbo ulikua unaniudhiii ila nikaona nikikwambia utanijumlisha humohumo nikakaa kimya😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…