Tupige kura: Ni mwanamke gani smart na mrembo kuliko wanawake wote humu jamvini?

Na wewe ukiwemo๐Ÿ˜‚
Wewe hutukani ila una mafumbo yanayokera, kipindi kile unagombana na intelligent kila muda unamtupia mafumbo ulikua unaniudhiii ila nikaona nikikwambia utanijumlisha humohumo nikakaa kimya๐Ÿ˜‚
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ Hapana wewe ni rafiki yangu mpendwa
 
Na wewe ukiwemo๐Ÿ˜‚
Wewe hutukani ila una mafumbo yanayokera, kipindi kile unagombana na intelligent kila muda unamtupia mafumbo ulikua unaniudhiii ila nikaona nikikwambia utanijumlisha humohumo nikakaa kimya๐Ÿ˜‚
Tena aje hapa, yale mafumbo yao hawa watoto wa kiume hawa. Nilikuwa siwaelewi, maana chanzo kilikuwa nini? Na mwenzake sijui kaishia wapi tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ