Tupige kura: Ni mwanamke gani smart na mrembo kuliko wanawake wote humu jamvini?

Tupige kura: Ni mwanamke gani smart na mrembo kuliko wanawake wote humu jamvini?

Ndugu zangu japo hatufahamiani, ila kwa komenti na posti mbalimbali humu jamvini unaweza kutambua usmart wa mtu bila kumjua.

Naomba leo kwa uzoefu wetu tupige kura hapa ili na sisi wanajamvi tumvike taji la umiss mwanamke mrembo kuliko wote humu jamvini.

Nitatoa zawadi ya tsh 10,000 kwa mrembo atakaye shinda.

Twende kazi…..
👇👇👇👇👇👇
Tupe maana ya urembo maana kwanaa hata hips zao hatuzijui
 
Wapo wengi sana pongezi ziende kwao kulingana na michango yao humu jukwaani.
Kwenye list yangu kwa uchangiaji mzuri na wenye tija wapo wengi wanajitahidi sana ila kwa upande wangu namba moja ni binti kiziwi .
Chukua maua yako mama 💐🌺 unastahili, michango yako huwa imenyooka kuliko rula.
 
Back
Top Bottom