Tupige kura: Ni mwanamke gani smart na mrembo kuliko wanawake wote humu jamvini?

Tupige kura: Ni mwanamke gani smart na mrembo kuliko wanawake wote humu jamvini?

Ni kamzozo.
Screenshot_20231215-215401.jpg
 
Wapo wengi sana pongezi ziende kwao kulingana na michango yao humu jukwaani.
Kwenye list yangu kwa uchangiaji mzuri na wenye tija wapo wengi wanajitahidi sana ila kwa upande wangu namba moja ni binti kiziwi .
Chukua maua yako mama 💐🌺 unastahili, michango yako huwa imenyooka kuliko rula.
Asante sana Mkuu, I’m humble you know! 😅😅

Napokea maua. 😊
 
Back
Top Bottom