Tupige kura: Ni mwanamke gani smart na mrembo kuliko wanawake wote humu jamvini?

Tupe maana ya urembo maana kwanaa hata hips zao hatuzijui
 
Wapo wengi sana pongezi ziende kwao kulingana na michango yao humu jukwaani.
Kwenye list yangu kwa uchangiaji mzuri na wenye tija wapo wengi wanajitahidi sana ila kwa upande wangu namba moja ni binti kiziwi .
Chukua maua yako mama 💐🌺 unastahili, michango yako huwa imenyooka kuliko rula.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…