Thanks.Pole sana aisee.. Am a girl and proud [emoji3526][emoji3526]
Barikiwa sana kiongozi πThanks.
So sorry.
Asante sana Mkuu, Iβm humble you know! π πWapo wengi sana pongezi ziende kwao kulingana na michango yao humu jukwaani.
Kwenye list yangu kwa uchangiaji mzuri na wenye tija wapo wengi wanajitahidi sana ila kwa upande wangu namba moja ni binti kiziwi .
Chukua maua yako mama ππΊ unastahili, michango yako huwa imenyooka kuliko rula.
Una madini sana hasa kwenye malezi.Asante sana Mkuu, Iβm humble you know! π π
Napokea maua. π
Dah bro mi ni mwanaume
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dah bro mi ni mwanaume
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Katika hao uliowataja hapo kuna wanaume kadhaa nawajua.
Kumbe huyu chizi ni manziMpwayungu village
Mambo vipi Dejane? Mafuriko hayajakugusa huko?πComment za humu zinachekesha sanaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu sema kweliii?Cocasti
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anaweza kuwa smart ila sio mrembo. Huyo yupo ila simtaji.
Anaweza kuwa mrembo ila sio smart. Pia yupo sitamtaja.
Anavyote ni mrembo na smart ila ana arrogance (kiburi) fulani hivi. Huyu nitamtaja ngoja narudi.