Tupige kura: Ni mwanamke gani smart na mrembo kuliko wanawake wote humu jamvini?


Sijawahi kumuona ila na hisi atakuwa Pisi ya kwenda Fainancial
 
NIlimuona Nifah ni mzuri sanaa Aisee
Rangi ya mtume
Yaani hiyo avatar yake kuna mtu nilikutana naye hivyo hivyo kama ktk avatar one day ubungo maji akiwa ktk boda boda mi Niko ktk mwendo Kasi. Alivaa gauni refu na kilemba kama Cha wale madada ktk matangazo ya kujifunza sijui darasa la urembo. Rangi ni hiyo hiyo ya Mtume udonho wa maka. Niliamini yule ni Nifer na haya maelezo yako naona ni kweli alikuwa yeye.
 
Simjui hata mmoja
 
Umechanganya madesa;
1. Smart sio lazima awe mrembo
2. Mrembo huwezi kumtambua kwa komenti.

Huu uzi ni batili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…