Tupige kura: Ni mwanamke gani smart na mrembo kuliko wanawake wote humu jamvini?

Ndugu zangu japo hatufahamiani, ila kwa komenti na posti mbalimbali humu jamvini unaweza kutambua usmart wa mtu bila kumjua.

Naomba leo kwa uzoefu wetu tupige kura hapa ili na sisi wanajamvi tumvike taji la umiss mwanamke mrembo kuliko wote humu jamvini.

Nitatoa zawadi ya tsh 10,000 kwa mrembo atakaye shinda.

Twende kazi…..
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Ni mke wangu aliyeko nyumbani na sijui kama yupo humu
 
Nakuchukuliaga poa ujue?
Achana na huyo chakula ya wana.
Huyu jamaa utakuwa ulimpiga na nyundo nzito utosini akili zimeruka.
Hata hivo hamna mwanaume hapo😂😂sasa mwanaume anaonaje wivu kisa nimesifiwa ni mzuri, anatamani angekuwa yeye eti. Ila simlaumu maybe I am so cute that it’s hard to believe au nasema uongo babe Its Pancho?

Yaani huyo nilimpa emotional damage ni lazima aruke ruke kama popcorn 🍿. Sidhani pia kama anapata hata muda wa kufanya mapenzi maana akilala ni Hannah akiamka ni Hannah na muda wa kufanya mapenzi ndio anautumia kuja kujamba jamba huku si unaona hata hiyo comment ni ya saa ngapi….. usiku wa manane while I was busy giving my husband “head “😂😂😂
 
Ndugu zangu japo hatufahamiani, ila kwa komenti na posti mbalimbali humu jamvini unaweza kutambua usmart wa mtu bila kumjua.

Naomba leo kwa uzoefu wetu tupige kura hapa ili na sisi wanajamvi tumvike taji la umiss mwanamke mrembo kuliko wote humu jamvini.

Nitatoa zawadi ya tsh 10,000 kwa mrembo atakaye shinda.

Twende kazi…..
👇👇👇👇👇👇
Kwangu mimi ni ngumu kumbaini.JF hii ambayo unakuwa na muda mwingi wa kutafakari,kutafuta majawabu na kujipanga ndipo uchangie hoja?Ngumu.Smart unaweza mtambua kwa maongezi ya uso kwa macho.Mumo kwa pale.
 
Hata hivo hamna mwanaume hapo😂😂sasa mwanaume anaonaje wivu kisa nimesifiwa ni mzuri, anatamani angekuwa yeye eti. Ila simlaumu maybe I am so cute that it’s hard to believe au nasema uongo babe Its Pancho?

Yaani huyo nilimpa emotional damage ni lazima aruke ruke kama popcorn 🍿. Sidhani pia kama anapata hata muda wa kufanya mapenzi maana akilala ni Hannah akiamka ni Hannah na muda wa kufanya mapenzi ndio anautumia kuja kujamba jamba huku si unaona hata hiyo comment ni ya saa ngapi….. usiku wa manane while I was busy giving my husband “head “😂😂😂
Nadhani angeniuliza mimi tunayeamka wote huo uzuri ni namna gani ningempatia majibu mengi sana.

Hata hivyo mwambie k huwa haiombwi hivyo
 
Ndugu zangu japo hatufahamiani, ila kwa komenti na posti mbalimbali humu jamvini unaweza kutambua usmart wa mtu bila kumjua.

Naomba leo kwa uzoefu wetu tupige kura hapa ili na sisi wanajamvi tumvike taji la umiss mwanamke mrembo kuliko wote humu jamvini.

Nitatoa zawadi ya tsh 10,000 kwa mrembo atakaye shinda.

Twende kazi…..
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Munyu kama munyu Evelyn Salt
 
Back
Top Bottom