Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Cha kumtapeli labda umtapeli kadi ya ccm tu asubuhi mpaka jioni mnashinda mnapiga kampeni🤣🤣🤣 hivi una cha kutapeliwa? Hebu walete hao ambao niliwahi kuwatepeli basi!!
Nimemtapeli Kantry sababu anavyo vya kutapeliwa!! Ww choka mbaya nani akusogelee akutapeli?! Emu kwanza njoo na id yako ile nyingine ili tuelewane achana na hii kipwinte mzee wewe
I wonder mnakula nini maskini