Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Mimi kazi ninayo, kile kichwa tuna solve homework wote.Maths. Labda na English kwa primary
Haya ma science na ma geography ya sasa siyaelewi 🤣
Anatakiwa afannye mwenyewe kisha ikaguliwe kwanza mwalimu kisha Mimi Ndo nitamsaidia baadaye.Yeah. I know
Sio kama unatakiwa kumfanyia homework. Bali unamsaidia pale alipokuwa hajaelewa shuleni. Kama tuition
Khaaaaaaa, we tena utakuja kumfanyisha correction. au sio?Anatakiwa afannye mwenyewe kisha ikaguliwe kwanza mwalimu kisha Mimi Ndo nitamsaidia baadaye.
Hufai kuwa mwalimu 🙁Tatizo nina hasira
Yeah, kwa sabubu Mimi huwa nawafanyia marekebisho hadi waalimu. Si unajua waalimu wengi wa Tanzania hawana tofauti kubwa na wanafunzi?!Khaaaaaaa, we tena utakuja kumfanyisha correction. au sio?
Yeah sure, na akitokea mtt anajielewa mwenyewe anamsahihisha mwalimu.Yeah, kwa sabubu Mimi huwa nawafanyia marekebisho hadi waalimu. Si unajua waalimu wengi wa Tanzania hawana tofauti kubwa na wanafunzi?!
Ha ha haaaaa, itabidi umsusie sasa, umuwache ateseke kdgMimi kazi ninayo, kile kichwa tuna solve homework wote.
Ila aki faulu kuwa top 3, uta sikia Intel mimi nina akili😂🦅
My ribs 😂 😂 😂 . Kama wote boys kazi unayoSiku moja mwanangu karudi na picha aliyoichora kutoka ubaoni kama sehemu ya h/w. Picha ni Paka mulemule but yeye akaandika Mbwa. Nikawaangalia na kaka yake (wanasoma shule moja) wanavyobishana na mimi nikawa nasisitiza ni Paka. Usiku wamelala, Kaka yake kwa huruma ya fimbo kwa mdogo wake akafuta na kuandika Paka. Dogo kaenda shule akakosa. Vita iliyotokea ndani sijawahi kuiona (kumbe mwamba ubaoni alichorwa Mbwa ila yeye kuigilizia kwenye daftari ndiyo kamtoa Paka)😀😀
Hakika mkuu japo kwenye SoMo la hesabu siko vizuri. Kwa sababu wewe ni mwalimu wa hesabu inabidi umalizane na mwanangu katika Somo hilo.Yeah sure, na akitokea mtt anajielewa mwenyewe anamsahihisha mwalimu.
Ila kwa mzazi inabidi kuwa na muda kweli kweli, mie walimu wananielewa vizuri sitaki upumbavu lazima wakae juu ya mstari
kasha ijua meta ai ya Whatsapp , nisipo kuwepo ana piga simu.Ha ha haaaaa, itabidi umsusie sasa, umuwache ateseke kdg
😅 JamaniHufai kuwa mwalimu 🙁
Khaaaa, mwambie asifanye hivyo.kasha ijua meta ai ya Whatsapp , nisipo kuwepo ana piga simu.
Ualimu ni witooooo😅 Jamani
Ni kweli kabisaUalimu ni witooooo
si unaona wengine wamefika kuua watt wa watu...Hatari sana
She's quite good, sihofii huwa ana uliza maswali tu.Khaaaa, mwambie asifanye hivyo.
Vijana maarifa yanapotea, mwisho itakuwa bora elimu lkn hamna elimu bora
Yupo la ngapi?Hakika mkuu japo kwenye SoMo la hesabu siko vizuri. Kwa sababu wewe ni mwalimu wa hesabu inabidi umalizane na mwanangu katika Somo hilo.
Kwanini umsahidie home work mwanao yani ungoje home work? Swala la kumfundisha mtoto wako alitakiwi kungoja homework, unatakiwa kulifanya mara zoteKwa unavyojijua, mwanao akutegemee zaidi kwenye home works za somo gani!?
Mimi mwanangu kwenye Hesabu maskini nitamuabisha 🤣