Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Mimi kazi ninayo, kile kichwa tuna solve homework wote.Maths. Labda na English kwa primary
Haya ma science na ma geography ya sasa siyaelewi š¤£
Ila aki faulu kuwa top 3, uta sikia Intel mimi nina akilišš¦