Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,593
- 46,759
Umechelewa mzee, mi ninajua mahali alipo, ugali nilienda nao. Tushamaliza we meza mate tu huna namnaMkuu kama mboga haijaisha nipe location nije na ugali wangu
Umechelewa mzee, mi ninajua mahali alipo, ugali nilienda nao. Tushamaliza we meza mate tu huna namnaMkuu kama mboga haijaisha nipe location nije na ugali wangu
Omes 😂😂Kijana wa AD unafaidi sana🥹🥹 natafuta hili eneo silipati. Mitaa ya kwa wenye ⭐??
Leo kwale njooUmechelewa mzee, mi ninajua mahali alipo, ugali nilienda nao. Tushamaliza we meza mate tu huna namna
Kweli hizi I'd fake hatuwezi kujuana kiurahisi....me SI ndiyo uliniagiza ndimu uliposema unapenda uchachu uchachu🤣Umechelewa mzee, mi ninajua mahali alipo, ugali nilienda nao. Tushamaliza we meza mate tu huna namna
Kweli kabisa leo fanya uje mapema leo ni kwale ushawai kulaKweli hizi I'd fake hatuwezi kujuana kiurahisi....me SI ndiyo uliniagiza ndimu uliposema unapenda uchachu uchachu🤣
Ety Mwachiluwi
Miaka ya 47 ilikuwa tunawatega na kuwakamata hao Ndege
Sana bossMiaka ya 47 ilikuwa tunawatega na kuwakamata hao Ndege
Wana nyama tamu sana Kwale 😋
Njoo uonjeeUnapika kiti moto unaita nyama poli?. Nyama poli gani nguruwe kabisa huyo?
Vikiiva usinisahau tu 🤗Sana boss
Nakuja mkuu kwahiyo nibebe nini?Kweli kabisa leo fanya uje mapema leo ni kwale ushawai kula
SitosahauVikiiva usinisahau tu 🤗
Beba pilipiliNakuja mkuu kwahiyo nibebe nini?
🙏🙏🙏Sitosahau
Dagaa anaonekana mtamu sana mimi nakuja na hii
Hakuna nyama tamu kushinda nyama ya ngiri.Swala mtamu sana af anakuja pofu
Wewe hujui kiti moto, kiti moto gani haina wazungu?Unapika kiti moto unaita nyama poli?. Nyama poli gani nguruwe kabisa huyo?