Tupike nyama pori mzuri kwa ugali

Je ndugu hiyo ya fisi,simba ama ngedere?
 
Mwachiluwi hivi nini kinasababisha watu wawili watumie viungo sawa kupika pishi Moja ila kimoja kitamu kingine siyo kitamu
Haraka kuna mmoja atapika kwa haraka unakuta nyama au nyanya haiivi au anaunguza lakini naamini katika kipaji upishi nao ni sanaa ni kipaji na mkono wa mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…