ππYani ni mtamu lkn nauchukiaNamzingua Chef tu na Jukwaa lake la misosi.
Akufundishe kupika ugali wa mtama
Sister du huyo!! Ukimaliza kutwanga unakunywa panado πππππYani ni mtamu lkn nauchukia
Nilikuwa nikienda kwa bibi kijijin kwao hakuna maashine ya kukoboa anatuamsha alfajir,
mnapewa mtama mtwange. Had utoke Yale maganda mchanganye na mahind mkasage unga wee unatwangwa had unapata kichaaa π Nikaanza kuuchukia mtama balaa πππ
Akupe nani Panadol unatulia tu anasema mwilinutapoa na anampa kilamtu kias chake hakuna kutegea mnakaa wawil wawil ππSister du huyo!! Ukimaliza kutwanga unakunywa panado πππ
Kila mtu ana ita anavyo weza izo sipend kwasababu ya mafutaNjoo tupike kalimati aunt sijawah ππhivi wanaita hivo hivo eehπ
Mwachiluwi
Shangazi mie nazisikia tyuh, hata sijui zinafananajee.Njoo tupike kalimati aunt sijawah ππhivi wanaita hivo hivo eehπ
Mwachiluwi
πππUnaninyanyasa sana nijutie kuhama. Maini sasa hiv anakula naniππ€£π€£π€£π€£
ππ bado ujasema yanaendaga omes af siyapendi tuπππUnaninyanyasa sana nijutie kuhama. Maini sasa hiv anakula naniππ€£π€£π€£π€£
π€£π€£π€£ Hamjapata Mr msumbufu kama kale kababa.ππ bado ujasema yanaendaga omes af siyapendi tu
Hapana yupo ndaki hanaga shida sana ila muongeajii sanaaa mwakan ana stafu na bi mbuzi kama unamjua maoa truwayπ€£π€£π€£ Hamjapata Mr msumbufu kama kale kababa.
Nyati dola ngapi vile na swala jeHata wewe unaweza kulipia maliasili ukapewa kibali cha kuwinda nyama pori.
Bi mbuzi si Amina? π€£π€£ Tluway yupi yule mwembamba mrefu au safari? maoa muhuni tuHapana yupo ndaki hanaga shida sana ila muongeajii sanaaa mwakan ana stafu na bi mbuzi kama unamjua maoa truway
Ndio uyo uyo amina tluway ni huyo huyo πBi mbuzi si Amina? π€£π€£ Tluway yupi yule mwembamba mrefu au safari? maoa muhuni tu
Hao ni wazee kuliko Sule??πππNdio uyo uyo amina tluway ni huyo huyo π
Ahaha ndio inasemekana hivyo ila ithnk na sulle pia kama sijasikia vibayaHao ni wazee kuliko Sule??πππ
Kijana wa AD unafaidi sanaπ₯Ήπ₯Ή natafuta hili eneo silipati. Mitaa ya kwa wenye β??