#COVID19 Tupo Watanzania tunaohitaji chanjo ya COVID-19

Kesho ukisikia serikali imepewa mkopo wa pesa na UsA mnakujaga humu na thread za kupongeza. Leo hii mikopo mnaponda
 
Niko kwenye foleni, chanjo inakuja lini jamani? Nakufa mimi[emoji31]
 
Kuwa tegemezi kwenye chanjo nyingine zilizotangulia za maradhi mengineyo, sio kigezo cha kuingia kichwa kichwa na kukubali kutumia hii ya Sars Cov 2...

Jaribu kutafakari huu mlolongo, January 2020 ndio outbreak ya COVID-19 imeanza, March ikawa declared kama Pandemic, around December 2020 kuna nchi zikaanza kuroll out hizo chanjo...

Can you ask yourself, hiyo chanjo imetengenezwa baada tu ya outbreak kweli au hizi zote ni mipango ya wanaoaminika kuileta COVID 19?

Kwa kawaida wao wataalamu walitueleza angalau miezi 18 au zaidi itahitajika kuja tu na chanjo ya kwanza ya majaribio, lakini hizi zilizotoka sasa ni chini ya muda huo karibu nusu ya makadirio...
 
Kuwa tegemezi kwenye chanjo nyingine zilizotangulia za maradhi mengineyo, sio kigezo cha kuingia kichwa kichwa na kukubali kutumia hii ya Sars Cov 2..
Covid imegundulika toka mwaka 1964. Wanascience wamekuwa wakifatilia huu ugonjwa muda mrefu. Hivyo kwa sababu outbreak imetokea 2019 inawezekana ndipo waliongeza nguvu kutafta chanjo.

Na kibinafsi mimi naamini covid 19 is man made kama magonjwa mengine makubwa kama ebola, ukimwi etc. Sasa wewe kama unaakili timamu huwezi sema mimi sitaki chanjo nakaa hivi hivi nasubiri kufa. Huu ni utairaaa.
 
Uko USA mkuu nina imani tutakutana
 
Nchi yetu imepata laana kubwa awamu hii. Nina hakika hakuna wakati Taifa letu liliwahi kupata uongozi usio na maono, na primitive, kama awamu hii.

Hivi mtu mwenye hekima, utawezaje kusema wazungu wanatuletea chanjo ili tufe?

Chanjo za polio, tetenasi, kifaduro, kifua kikuu, ndui, surua, wote tumechanjwa, watoto wetu wanachanjwa, tena kea kusaidiwa bure. Hakuna hata chanjo moja ambayo Tanzania inalipia.

Madawa aghali kama ya cancer, kifua kikuu, HIV, yote tunasaidiwa bure. Mbona hajawahi kuyakataa?

Hiyo tiba ya moyo anayotembea nayo, walitengeneza Chato? Dawa tunazotumia mahospitalini, zinatengenezwa Chato? Magari anayotumia, yanatengenezwa Chato?

Kwa kweli huyu mtu ni laana kubwa kwa Taifa. Wakati wote ni kuropoka mambo ya ajabu! Amepewa hela za msaada kupambana na Covid 19, akapeleka kwenye uchaguzi, halafu anawadanganya wajinga kuwa tumefanya uchaguzi kwa mara ya kwanza kwa pesa zetu wenyewe. Hizo oesa za msaada zingeweza kununua mashine nyingi za kuwasaidia wagonjwa kupumua, hata wagonjwa ea magonjwa mengine, zingeweza kuboresha huduma za afya kwa kununua vifaa tiba ili kuondoa tatizo kubwa lililopo sasa ambapo hospitali nyingi kwa sasa na vituo vya afya, imekuwa ni majengo badala ya huduma za afya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata hivyo, kama serikali imegoma kununulia wananchi wake chanjo, Iweke huru kwa hospitali binafsi kuleta chanjo na wenye uwezo kujinunulia.
hiki ndo anachomaanisha hyo mzee! anatutoa tu kwenye reli, lengo lake pesa ya serikali istuthamini wananchi, badala yake tununue wenyewe! ni sawa na kauli zake [I][B]mimi ndo nimeleta tetemeko[/B][/I]
 
Umoja wa ulaya ndyo wapi? Wingerezaa ipo wapi? Pili chanjo unajua zimetoka lini na mpaka sasa wingereza imeweza piga chanjo asilimia ngapi ya raia wake.

Watz wajinga kama nyinyi ndyo sababu hii nchi leo unatawaliwa na msukuma wa chato kama anavyotaka
 
Hat
Hata hujui Kama uingeleza ilijitoa umoja wa ulaya?
We pimbi kweli uwe unafuatilia Mambo ya kimataifaalafu umeandika kwa kujiamini saana Kama unakuja.
 
Chanjo zote tunazowapa watoto wetu tangu hata kabla ya kupata uhuru hadi leo hii zinatoka kwa wazungu haohao. Wangetaka kutuua nani angebaki?
 
 

Attachments

  • VID-20210128-WA0009.mp4
    4.8 MB
K
Chanjo zote tunazowapa watoto wetu tangu hata kabla ya kupata uhuru hadi leo hii zinatoka kwa wazungu haohao. Wangetaka kutuua nani angebaki?
Kwani hata siku hizi mna nguvu za kiume? Unadhani kwa nini zinapungua tofauti na zamani?
 
Nadhani kwenye kichwa chako Kuna kitu kingine kikaa badala ya ubongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…