#COVID19 Tupo Watanzania tunaohitaji chanjo ya COVID-19

#COVID19 Tupo Watanzania tunaohitaji chanjo ya COVID-19

Hivi unadhani US inaweza kutoa pesa zake bure bila kuweka masharti yeyote? Sasa katika hayo masharti wanayotuwekea ni lazima yawe na positive impact upande wao.

Raisi mstaafu kikwete aliwahi kusema ukitaka kula ni lazima uliwe, kwa hiyo Hawa jamaa hawatoi misaada bure Kama unavyodhani, ukipewa msaada ni lazima ukubali baadhi ya Mambo yao kadhaa wanayohitaji kwenye nchi yako.

Ni dhahiri Afrika bado tuko chini ya himaya yao (ukoloni Mambo leo) kwa sababu ya sisi kuwategemea wao kiuchumi.
JPM anajitahidi kujinasua kutoka kwenye mitego hii kwa kupunguza utegemezi katika bajeti ya nchi na kutumia mapato ya ndani katika ujenzi wa miundombinu pamoja na kuepuka misaada au mikopo yenye masharti magumu.
Kesho ukisikia serikali imepewa mkopo wa pesa na UsA mnakujaga humu na thread za kupongeza. Leo hii mikopo mnaponda
 
Niko kwenye foleni, chanjo inakuja lini jamani? Nakufa mimi[emoji31]
 
Kuwa tegemezi kwenye chanjo nyingine zilizotangulia za maradhi mengineyo, sio kigezo cha kuingia kichwa kichwa na kukubali kutumia hii ya Sars Cov 2...

Jaribu kutafakari huu mlolongo, January 2020 ndio outbreak ya COVID-19 imeanza, March ikawa declared kama Pandemic, around December 2020 kuna nchi zikaanza kuroll out hizo chanjo...

Can you ask yourself, hiyo chanjo imetengenezwa baada tu ya outbreak kweli au hizi zote ni mipango ya wanaoaminika kuileta COVID 19?

Kwa kawaida wao wataalamu walitueleza angalau miezi 18 au zaidi itahitajika kuja tu na chanjo ya kwanza ya majaribio, lakini hizi zilizotoka sasa ni chini ya muda huo karibu nusu ya makadirio...
 
Kuwa tegemezi kwenye chanjo nyingine zilizotangulia za maradhi mengineyo, sio kigezo cha kuingia kichwa kichwa na kukubali kutumia hii ya Sars Cov 2..
Covid imegundulika toka mwaka 1964. Wanascience wamekuwa wakifatilia huu ugonjwa muda mrefu. Hivyo kwa sababu outbreak imetokea 2019 inawezekana ndipo waliongeza nguvu kutafta chanjo.

Na kibinafsi mimi naamini covid 19 is man made kama magonjwa mengine makubwa kama ebola, ukimwi etc. Sasa wewe kama unaakili timamu huwezi sema mimi sitaki chanjo nakaa hivi hivi nasubiri kufa. Huu ni utairaaa.
 
Mimi ni Mtanzania ambaye nipo USA kwenye usimamizi wa kusaidia hospitali kwenye madawa. Chanjo zote ukiacha za China na Russia zimefanyiwa majaribio na madaktari kutoka nchi mbalimbali. Wengi wa wana sayansi ambao wamefanya research sio hata wazungu wengi ni wahindi...
Uko USA mkuu nina imani tutakutana
 
Nchi yetu imepata laana kubwa awamu hii. Nina hakika hakuna wakati Taifa letu liliwahi kupata uongozi usio na maono, na primitive, kama awamu hii.

Hivi mtu mwenye hekima, utawezaje kusema wazungu wanatuletea chanjo ili tufe?

Chanjo za polio, tetenasi, kifaduro, kifua kikuu, ndui, surua, wote tumechanjwa, watoto wetu wanachanjwa, tena kea kusaidiwa bure. Hakuna hata chanjo moja ambayo Tanzania inalipia.

Madawa aghali kama ya cancer, kifua kikuu, HIV, yote tunasaidiwa bure. Mbona hajawahi kuyakataa?

Hiyo tiba ya moyo anayotembea nayo, walitengeneza Chato? Dawa tunazotumia mahospitalini, zinatengenezwa Chato? Magari anayotumia, yanatengenezwa Chato?

Kwa kweli huyu mtu ni laana kubwa kwa Taifa. Wakati wote ni kuropoka mambo ya ajabu! Amepewa hela za msaada kupambana na Covid 19, akapeleka kwenye uchaguzi, halafu anawadanganya wajinga kuwa tumefanya uchaguzi kwa mara ya kwanza kwa pesa zetu wenyewe. Hizo oesa za msaada zingeweza kununua mashine nyingi za kuwasaidia wagonjwa kupumua, hata wagonjwa ea magonjwa mengine, zingeweza kuboresha huduma za afya kwa kununua vifaa tiba ili kuondoa tatizo kubwa lililopo sasa ambapo hospitali nyingi kwa sasa na vituo vya afya, imekuwa ni majengo badala ya huduma za afya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata hivyo, kama serikali imegoma kununulia wananchi wake chanjo, Iweke huru kwa hospitali binafsi kuleta chanjo na wenye uwezo kujinunulia.
hiki ndo anachomaanisha hyo mzee! anatutoa tu kwenye reli, lengo lake pesa ya serikali istuthamini wananchi, badala yake tununue wenyewe! ni sawa na kauli zake [I][B]mimi ndo nimeleta tetemeko[/B][/I]
 
Mwenye no za magu naomba amfowardie.
Screenshot_20210128-105717_Twitter.jpg
 
Hao wazungu wanaochanjwa ndio wanao ongoza kwa kupata corona sasa faida ya chanjo ni nini?

Wingereza wamechanjwa lakini Wana maambukizi mapya na pia wamepigwa ban kwenda umoja wa ulaya sasa wewe kapuku unataka chanjo ya nini wakati wenye nayo haijawasaidia?

Ukitaka chanjo ondoka sense ukachomwe huko kwani hakuna wa kukuzuia.
Umoja wa ulaya ndyo wapi? Wingerezaa ipo wapi? Pili chanjo unajua zimetoka lini na mpaka sasa wingereza imeweza piga chanjo asilimia ngapi ya raia wake.

Watz wajinga kama nyinyi ndyo sababu hii nchi leo unatawaliwa na msukuma wa chato kama anavyotaka
 
Hat

Hata hujui Kama uingeleza ilijitoa umoja wa ulaya?
We pimbi kweli uwe unafuatilia Mambo ya kimataifaalafu umeandika kwa kujiamini saana Kama unakuja.
 
Tanzania hatujaanza kutumia chanjo leo kutoka kwa wazungu. Hivi sasa mpaka mtoto anakuwa, anachomwa chanjo mbalimbali sio chini ya mara 5. Taanzania haijawai hata kutengeneza chanjo yoyote toka ipate uhuru.

Leo tunaanzaje kukataa chanjo ya covid 19 kwa maamuzi au fikra ya mtu fulani ambaye unaweza kuta nyuma ya pazia kashajipiga iyo chanjo ya covid 19.

Nini maana ya kuwa na mamlaka ya kudhibiti viwango na maabara kuu ya taifa?

Ni wajibu wa serikali kupima na kudhibitisha viwango vya hizi chanjo kwanza kabla ya kuwapa wananchi wake na sio kuja na kauli ya kibaguzi, kishamba na kejeli wakati hata uwezo wa kutengeneza dawa hatuna.

Tunaelewa chanjo hazitolewi bure. Ni jukumu la serikali kununulia Wananchi wake chanjo.

Hata hivyo, kama serikali imegoma kununulia wananchi wake chanjo, Iweke huru kwa hospitali binafsi kuleta chanjo na wenye uwezo kujinunulia.

Hatuwezi kufa kwa uzembe wa kijinga namna hii. Chanjo ni muhimu kuliko mandege na mamiradi anayojenga. Kama chanjo wanataka kuua Waafrica wengine acha tutake risk. Bora kufa huku unapigania kusurvive kuliko kubweteka tu et Mungu wetu yupo hai. Kwani Mungu wa nchi nyingine ni marehemu?

Leo haamini chanjo za Mzungu ila yupo tayari kununua bombadia kutoka kwa mzungu kwa cash.
Chanjo zote tunazowapa watoto wetu tangu hata kabla ya kupata uhuru hadi leo hii zinatoka kwa wazungu haohao. Wangetaka kutuua nani angebaki?
 
Attachments

  • VID-20210128-WA0009.mp4
    4.8 MB
K
Chanjo zote tunazowapa watoto wetu tangu hata kabla ya kupata uhuru hadi leo hii zinatoka kwa wazungu haohao. Wangetaka kutuua nani angebaki?
Kwani hata siku hizi mna nguvu za kiume? Unadhani kwa nini zinapungua tofauti na zamani?
 
Hao wazungu wanaochanjwa ndio wanao ongoza kwa kupata corona sasa faida ya chanjo ni nini?

Wingereza wamechanjwa lakini Wana maambukizi mapya na pia wamepigwa ban kwenda umoja wa ulaya sasa wewe kapuku unataka chanjo ya nini wakati wenye nayo haijawasaidia?

Ukitaka chanjo ondoka sense ukachomwe huko kwani hakuna wa kukuzuia.
Nadhani kwenye kichwa chako Kuna kitu kingine kikaa badala ya ubongo
 
Back
Top Bottom