Tupunguze kujenga Misikiti, hakuna Uislamu kama hakuna maendeleo ya waumini

unapo sema waisilamu wao kazi kujenga misikitu awawekezi kwingine maana yako nn?lazima tukuoji hayo makanisa yalio ekeza kwenye mabo mengi waumini ambao ndio chanzo kikuu cha mapato ya yote hayo wananufaikaje na uwekezaji wao? tuanzie hapo
 
huna lolote wewe mvimba macho tu haya hao wanao kuzunguka umewasaidiaje? uko vizuli wakuwa vizuli atakuwa wewe wenye nazo hawasemi wasio kunazo kazi kujikweza tu
Aisee hizo L zako badala ya R zinaboa usije ukaniquote tena na huo mwandiko wako,nenda shule kwanza
 
Maendeleo ya uislam kama taasisi.

Hata zahanati imekosekana sheikh.
Ili nyie mashehe mnufaike au?, Zahanati si zipo za serikali kila kona?, Na ndugu zetu wakristo wanazo nyingi tu,, au kwani kuna mashindano ya kujenga zahanati🤔😲
 
Dah pole Sana [emoji23][emoji1787][emoji1787] Leo umekula za uso , najua apo ulipo unaweweseka

Ila waislamu mjenge hospital, shule na vyuo

Jifunzeni pia kutoa sadaka nene
Umekaa wiki unafanya kazi inafika ijumaa unaenda kutoa jero
hata wewe mbona kwangu kukavu tu huna 10000 ya kuchangia kanisani kwako kila wiki bhana acha uongo mbona tuko wote mitaani vipato havipishani?shukuru mafisadi wakikwapua wanaleta huko
 
unapo sema waisilamu wao kazi kujenga misikitu awawekezi kwingine maana yako nn?lazima tukuoji hayo makanisa yalio ekeza kwenye mabo mengi waumini ambao ndio chanzo kikuu cha mapato ya yote hayo wananufaikaje na uwekezaji wao? tuanzie hapo
Wananufaika maaskofu ofcourse,, unless otherwise Bugando, au kcmc huwa wanatoa gawio kwa waumini,, which is not the case.. 🤷🏽‍♂️
 
Msikiti ndio kituo Cha uislam,ndio msingi wa kuhuisha uislam
Tatizo ni kuwa uislam halisi umeachwa, pasipo kusimamisha utawala wa kiislam hayo uongeayo ni ndoto
Simamisha uislam msikiti isimame
Duh,unaamini hilo.lotatokea nchi hii?
 
Muoneni huyu!

Hayo masheli umeshawahi kumuona Big Bon pale Kariakoo akipima gauge kwenye tank kuangalia kama mafuta yamefika kiwango gani au kushika pump?hizo kazi si wanafanya losers waliokosa ajira rasmi au kukosa elimu?

Hiyo kazi saratani nje nje hata akiwa na ndugu mtoto wa dada yake hiyo kazi hawezi kumruhusu aifanye kwenye hivyo viwanda vyao mnapewa kutwa elfu tatu tatu mnafanyishwa kazi za manamba vifaa kinga vyenyewe hampewi mwaka 2014 yupo jamaa yangu baba yake mdogo alitumbukia kwenye chemba ya kuchemshia vyuma kwenye kiwanda cha Muislam mwenzenu wakaishia kupewa ubani Tsh 500,000/=.

Unapozungumzia vitu serious kama hivi huo utajiri utoe kabisa hawana maana hao.
 
HUwezi fananisha Taborra na mikoa kama Mbeya,Iringa, Njombe,..ni mbingu na ardhi
uwezi fananisha sababu njombe wanabaka watoto kila siku wanawake wanaua waume zao kwa ajili ya mali pia waua watoto ndugu kisa pesa pia wanalima viazi mvilingo miti weka msitali hapa wakinga wabena wanyakwiusa waee kweli nichapazi lakini nauchawi uko mbele kama tai hivi niko madaba unidanganyi kitu kuhusu jamii ya huku
 
Kweli,, Tabora ni mkoa wenye biashara kubwa sana, hasa wilaya ya igunga,, volume ya biashara pale iko juu mno😆
Ni kweli mkuu wangu ...mji umechangamka mno mno kamzunguko ka hela kamechangamkabalaa...tofauti na Mbeya n the like..(au sio)!
 
NAona uvivu kukujibu maana hata andika yako ni kichefuchefu! Kwaheri
 
kweli sisi waisilamu wauaji hata huyu alitaka kumua lissu nae alikuwa muisilamu
 
It's true watajifaikhrisha sana humu ndani lakini kiuhalisia hakuna free service kwa m~kkt wala mlutheri wala mroma kwenye vituo vyao vya afya sjui vyuo vyao tena I'm pretty sure hata ukienda hospital szani kama yule anaeku attend pale kuna swali atakuuliza kuwa wewe dini gani? So wanafaidika wachache wenye madaraka wachungaji na top managers
Kwahiyo anavyodai bwana Accumen Mo ni sahihi kuwa wale ni biashara wanafanya hata sie waislam taasisi za kiislam zinazo miliki vituo vya huduma mbali mbali kwa asimilia wale wanafanya biashara sema kwa misingi na man haj islmaia lakini sio kwamba nikienda mum pale morogoro kwa sababu mini ni Muslim tuition fee yangu itapunguzwa hapana si kweli

So maadam ni biashara na si huduma(maana tungeiita ni huduma swadaka kama watu wanapunguziwa cost au kama ilivyo kwa watoto yatima na mazingira magumu hawalipishwi kwa huduma na malezi wanayoyapata kwenye taasisi zinazowalea ziwe za kidini au zisizo za kidini) hivyo kama ni biashara sina haja ya kujinasibisha nazo hata kama ni kiislam kikubwa nitafurahi labda uwepo wake kwamba mwanangu atasoma shule na kufundishwa dini.....the rest hatuna haja ya kujifungamanisha na kujipa umiliki wa hivi vitu ndugu zangu zile ni biashara

Ndugu yangu wa karibu sana ni mkatoliki walijenga shule ya parokia yao kwa michango yao wenyewe wanakanisa but in end yeye ni fukara hana hizo million za kusomesha mwanae pale hivyo alienacho bila kujali dini yake ndio anafaidi atampeleka mwanae pale...tusiwe wajinga....ikiwa msikiti au kanisa litajenga shule au taasisi basi liweke mazingira wa kuwa favor founders na waumini husika vinginevyo its a business na watu wengi wa chini si waifaidika tena ..

Na wale wanajuaga faida wanapeleka wapi kamwe hutoona wanajiendesha kwasababu wana vitega vichumi utaona bado wanaitisha michango kwa waumini kwa waumini kila Leo wakati taasisi walizo zianzisha zinaingiza mamilioni kila Leo


Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Waislam wa Africa?? Hapo umemu include hadi baresa, dangote, rostam azizi na jakaya siyo??? Tatizo tukisema Africa wewe unawaza mtaani kwenu....uislam una matajiri wakubwa sana na maskini wakubwa kadhalika kwa wakristo hivyo hivyo kadhalika kwa dini zote stop narrowing your mind...think higher!

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
HUwezi fananisha Taborra na mikoa kama Mbeya,Iringa, Njombe,..ni mbingu na ardhi
nilikuwepo iringa na mbeya 2013,nilishangaa kwa nini mbeya ni Jiji,yaani uyole ndiyo pamechangamka,uyole penyewe pa kijinga tu,mji wa tabora ukianzia manoleo mpaka tumbi ni kipenyo Cha zaidi ya kilomita 20,labda Kama ulipita tabora stand ndani ya basi ukaondoka
 
Waislam wanatibiwa na kusoma wapi siku zote!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…