Ukiingia ktk mawaidha unatishwa, utaambiwa dunia ni takataka, tusiisumbukie dunia tujenge akhera, Kwa jins waislam wanavyoitusi Dunia utafikiri kama Mungu aliiumba kwa bahati mbaya yan.
adi mawaidha yanaisha umeshatishwa vibaya macho yamekuiva, unapunguza kasi ya uchumi, unaona ata nikijiimarisha kiuchumi nitakufa nitaacha kila kitu,
waislam wa Africa wataendelea kuishi maisha ya dhiki adi apo watakapoamka, tazama waarabu ni swala tano lakin wanatafuta pesa vibaya na kuwa matajiri wakubwa.
Africa kuwa muislam ni kuishi kienyeji enyeji ndio Mungu anakuona