Tupunguze kujenga Misikiti, hakuna Uislamu kama hakuna maendeleo ya waumini

Tupunguze kujenga Misikiti, hakuna Uislamu kama hakuna maendeleo ya waumini

Ndio maana ww jamaa nilisha sema umejaa mavi kichwani badala ya akili yaani ww unaona ni sahihi nyinyi kujenga makanisa kila nyumba ili mueneze injili yenu ila waislam wakijenga misikiti kwa ajili ya kuhubili dini yao kwako ni tatizo ww ni mavi kabisa.

Punguza hasira kijana,jikite katika hoja.
 
Hii mada haimuhusu Yesu... Mbona mmepanic kiasi hiki na mnaikwepa mada?

Mada inahusu WAISLAM na UJENZI WA MISIKITI
Tatizo unajibu hata visivyokuhusu na huwezi kujadiliana wewe Bali kubishana that's why nazivungia sana comment zako napita kimya kimya

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Wewe ukiwa Mwanza, ikatokea ukaugua Utapelekwa Bugando, mali ya Roman Catholic

Ukiugua ukiwa Moshi, utapelekwa KCMC, mali ya KKKT

Zote hizo ni hospital za Rufaa level ya muhimbili kwa hizo kanda.

Jengeni mashule na Hospitali mtoe huduma kwa jamii acheni kutetea ujinga.

Nb: Wewe kwanza unahitaji kwenda darasani ujifunze kwanza kuandika.

Achana nao wakijenge kitu chochote,watabagua sana wengine wasio waimani yao mana wamefundishwa kuhudumiana wao kwa wao wala hata ajira hawezi pata asiye wa imani yao.
 
Baadhi ya wavaa kobazi humu wanasema Hawaoni Umuhimu wa Kujenga Hospitali wala Mashule kwa sababu havina Faida.


Hii dini imejaa wapumbavu wengi sana.

Ili uwe mfuasi wa dini ile lazima ujitoe akili yani uwe mpumbafu,ndio mana huwezi kuta mtu mzima na akili zake akasilimu,hivyo walichobakiza kufanya ni kuzaana hovyo na kulazimisha watoto waende madrasa ndio sehemu pekew iliyobaki ya kupata wafuasi.
 
bila hela huwezi tibiwa
Ni vyema na haki ukajiandikisha QT

Hakuna bure kwa sababu kuna running cost, kuna wanaokuhudumia wanaitaji kulipwa mshahara , kuna madawa na vifaa tiba vinaitajika kununuliwa , kuna bills kama maji ,umeme , mawasiliano , stationary n.k

Nb . hakuna Bure
Ukiona unapewa huduma ya Bure juwa Kuna anaekulipia
 
Ili uwe mfuasi wa dini ile lazima ujitoe akili yani uwe mpumbafu,ndio mana huwezi kuta mtu mzima na akili zake akasilimu,hivyo walichobakiza kufanya ni kuzaana hovyo na kulazimisha watoto waende madrasa ndio sehemu pekew iliyobaki ya kupata wafuasi.
Kama mlivyojitoa akili nyinyi kumpinga Bwana Yesu

Yesu alimwambia Mary Magdalena kuwa anakwenda kwa Mungu wake ambaye ni Mungu wenu, nyinyi mumejitoa akili mnampinga mnasema yeye Ndiye mungu
 
Yesu wa kenya au?tuonyeshe andiko la yesu kuoa.




Transcription of ancient manuscript suggests Jesus married Mary Magdalene and had two children​



An ancient manuscript unearthed at the British Library and dating back nearly 1,500 years says that Jesus married Mary Magdalene and had two children, with their names and descendants reportedly given in detail in the text. The Church of England has dismissed the claims, saying it is closer to the fictional ‘Da Vinci Code’ than historical accounts.

The so-called “Lost Gospel”, which has been translated from Aramaic by Professor of Religious Studies Barrie Wilson and historical writer Simcha Jacobovici, allegedly reveals the startling new allegations, according to The Sunday Times .

Professor Wilson said on his website that he found the "ancient Syriac manuscript lurking in the British Museum, dating from the 6th century but translated from much earlier Greek writing.” He added that “scholars have known about it for almost 200 years, but have not known what to make of it.”

According to Wilson and Jacobovici, the manuscript includes details about Jesus’ political connections to the Roman emperor Tiberius and one of his generals, Sejanus, and says that there was an assassination attempt on Jesus thirteen years before his execution. However, the most controversial claim is that Jesus married Mary Magdalene and raised two children with her during his time in Nazareth
 
Ili uwe mfuasi wa dini ile lazima ujitoe akili yani uwe mpumbafu,ndio mana huwezi kuta mtu mzima na akili zake akasilimu,hivyo walichobakiza kufanya ni kuzaana hovyo na kulazimisha watoto waende madrasa ndio sehemu pekew iliyobaki ya kupata wafuasi.
ujui kuwa kwenye kwenye mizoga ndiko waliko tai wengi?
kipimo cha haki sio wengi wawatu tambua toka usingizini kume isha kucha
 
Ndio sijafika wewe ulie fika mlimani umefanya nn katika jamii yako hasa huko kwenu?tofaoti na kujikweze heti umesoma ulimbukeni na ushamba unakusumbua
Mimi Mlimani sijafika kama uzaniavyo.Ila naamini kwa Jf hii nayo ijua mimi wakisoma unacho posti hakika walio wakubwa na watu wazima, wana kupuuza na kusema lipuuzi moja hili.Ana kalia kuzungumzia dini peke maana kwenye ubongo wake kitabu anacho kisoma nikimoja na ndo anacho bwabwaja nacho humu mtandaoni.
 
Hakuna mtu anayeiingia ukirisito kwa kupewa msaada. Morogoro tuna chuo na shule nyingi tu. Na hospital zipo nyingi tu. Sijajua lengo lako nini. Uislamu unaongoza kwa maendeleo mengi nchini
Umeambiwa chuo kikuu cha maana.

Hiko cha morogoro ule ni uchafu.
 
Back
Top Bottom