Tupunguze kujenga Misikiti, hakuna Uislamu kama hakuna maendeleo ya waumini

Mie naongelea in general..na mzunguko wa fedha mkuu...mm tabora napaona pamepoa
 
Kwa wakristo na serekalini
Kwani kuna shida gani wakitibiwa kwa wakristo na serikalini that's business bro....unavyoendaga dukani au pahala popote kupata huduma huwa wauliza wewe au nyie ni dini gani???

Si haram kamwe! Kutibiwa kwa wakristo kwa sababu ule ni muamala wa biashara ni sawa ninavyopanda basi au daradara kwani huwa nauliza konda au dereva ni dini gani?? Uharamu ni kushiriki nao katika ibada zao na ikiwa mtu kafanya basi kaifanyia nafsi yake mwenyewe wala hairudi tena kwa uislam hapo ni shida zake mwenyewe

Wasio kuwa waislam hatushirikiani nao kwenye issues zinazohusu ibada tu bro vingine mbona fresh tu kaka acha Ku complicate mambo yaonekane magumu

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Sasa Rudi kwa mtoa mada amewashauri waislamu mpunguze misikiti mtoe na huduma za jamii

Anzeni ata na vi dispensary
 
Sasa Rudi kwa mtoa mada amewashauri waislamu mpunguze misikiti mtoe na huduma za jamii

Anzeni ata na vi dispensary
Hahahaha eti hata na vi dispensary...... Hatuna haja navyo hivyo sisi tunataka misikiti tu vi~despensary tutamia vya serikali na vya wakristo na vya wafanya biashara wengine

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Hapa ngoja nijiulize na kujijibu mwenyewe

Tatizo linakuja kwenye uendeshaji (running cost)

Msikiti imamu mmoja anaumudu, hospitali ni madaktari na vifaa vya kisasa plus na mishahara kila mwisho wa mwezi.

Lakini at least hospitali kwasababu wagonjwa hawatibiwi bure, zile pesa zinaingia kwenye rotation na kuinufaisha serikali
 
Ila Bank zisizo na Riba si zipo?
 
Ukifunga ramadhani yote una pepo kama utakutana na tulqadir
Ukijenga msikuti una pepo

Nakuongezea na Hii Ukimtazama Mkeo kwa Matamanio ya Ngono Mchana Na Mkafanya Tendo, Umesamehewa Dhambi zako zote, Chukua bonus: Ukichomwa na mwiba umesamehewa dhambi pia
 
Hahahaha eti hata na vi dispensary...... Hatuna haja navyo hivyo sisi tunataka misikiti tu vi~despensary tutamia vya serikali na vya wakristo na vya wafanya biashara wengine

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Usicheke msaidie mtoa mada kulelewa Uislamu huduma kama izo sio kipaumbele Cha dini yenu

Huyu hapa analalamika

"Tangu uhuru hadi sasa hatuna chuo kikuu cha maana kilicho sawasawa, tangu uhuru hadi sasa hatuna japo Maternity Hospital hata moja inayo elewaka walau kuwasaidia wakinamama wa wakiislamu."
 
Mie naongelea in general..na mzunguko wa fedha mkuu...mm tabora napaona pamepoa
kweli tabora palisaulika na serikali tofaoti na mbeya,kwa sasa tbr tachangamka sababu barabala ya mayoni tabora kigoma tabora mpanda taora nzega tabora kigoma sasa magali mengi yanapita hapo patajengeka muda si mrefu
 
Najaribu kuielewa moment yako lkn nashindwa, hayo majina uliyoyataja hayafikii hata thumni ya waislam masikini tulionao hapa Africa. Jamaa yupo sahihi sana kusema "waislam wa Africa"
 
Wewe utakuwa umetumwa bila shaka hauwezi kuwa muislam kwa mwandiko wako huu unasema uislam hauna chuo cha maana hivi zanzibar university na morogoro muslim university ni zenu wagalatia au ni baba yako kajenga hebu tupumzisheni jamani.
 
Ilm-dunia ambayo ndiyo ina sayansi na teknolojia vinavyoleta maendeleo na ustaarabu (anavyodai mtoa mada) siyo vipaumbele kwy Uislamu na ni kinyume na Uislamu (mwiko). Mtoa mada asiwalaumu Masheikh alaumu Uislamu. Kule Vijijini kwenye misiba mingi, Wakristo wanachinja na Waislamu wanakula tu tofauti na mijini.

Maendeleo kwy nchi za Kiislamu yameletwa na mafuta. Najaribu kuwaza km enzi ya mafuta (Oil Age) ikitoweka duniani kwa harakati za Wazungu sijui Waislamu wa nchi hizo na Uislamu wata/vita-kuwa wapi?
 
Makumira University ya Wasabato.

St John University ya Waanglikana.

Hubert Kairuki University ya TAG.

Mennonite wanadai Bunda TTC warudishiwe wafungue University.

Ilm-dunia siyo kipaumbele cha Uislamu ndiyo maana hata Chuo Kikuu wamepewa ofa na Mkapa Chuo cha Tanesco na kimeendelea kubaki hicho hicho.

Magufuli Mkristo (kama Mkapa) naye kaujengea Uislamu misikiti 2 ya Dar na Dodoma.

Tuvumiliane tu kama tunavyovumiliana kwenye kuchinja wanyama.
 
Serious?

Makumira ni ya Lutheran
Hubert Kairuki ni private Institution
 
Mtoa mada pia yupo kwenye thread anasoma comments bilashaka yuasoma nazangu pia....nakujibu simple hivyo kwasababu

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hivi umekielewa hata ulichokiandika kweli? Umeandika madudu hata sijaelewa, sijui ndo kiarabu hicho? Sasa mtu kama wew unaandika hivi panahitaji tena ushahidi wa ziada kwamba kwenu elimu si kipaumbele? Maana kwa mwandiko huu inadhihirisha kabisa hakuna elimu ulioisoma zaidi ya Madrasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…