Hapa hatuzungumzii biashara, tunazungumzia HUDUMA.Lengo la uislam ninkuabudu tu hizo biashara wafanye wengine Kama wamejenga na hawatuzuii kupata huduma tatizo liko wapi dunian tupo kwa ajili ya ibada na muda ni mfupi Sana hivyo Sion haja ya kukompilicate kiivo
Ukiwa Mwanza ukiumwa utaenda hospital ya rufaa ya Bugando...Ile ni hospital ya kanisa na ndio hospital kubwa ukanda ule.
Ukiwa Moshi/Arusha utaenda Hospitali ya rufaa KCMC, ile ni hospital ya kanisa.... na ndio kubwa kuliko zote ukanda ule.
Ninyi waislam mna nini mnachorudisha kwa Community kama huduma????
Mnatoa huduma gani kwa jamii inayowazunguka???? Hiyo ndio mada iliyopo mezani.
Note: Huduma sio bure, hata hospital ya serikali unalipa hela, ila ile ni huduma kwa jamii.