jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Ndio maana ww jamaa nilisha sema umejaa mavi kichwani badala ya akili yaani ww unaona ni sahihi nyinyi kujenga makanisa kila nyumba ili mueneze injili yenu ila waislam wakijenga misikiti kwa ajili ya kuhubili dini yao kwako ni tatizo ww ni mavi kabisa.
Tatizo unajibu hata visivyokuhusu na huwezi kujadiliana wewe Bali kubishana that's why nazivungia sana comment zako napita kimya kimyaHii mada haimuhusu Yesu... Mbona mmepanic kiasi hiki na mnaikwepa mada?
Mada inahusu WAISLAM na UJENZI WA MISIKITI
Yesu alioa na mbona mapandre hawaoi ? We unaoa kwa kumfuata Nan?
Msukuma unajielewa kweli
Maombi gani?Wewe hutaki kubebwa?basi utabebwa kwenye maombi.
Wewe ukiwa Mwanza, ikatokea ukaugua Utapelekwa Bugando, mali ya Roman Catholic
Ukiugua ukiwa Moshi, utapelekwa KCMC, mali ya KKKT
Zote hizo ni hospital za Rufaa level ya muhimbili kwa hizo kanda.
Jengeni mashule na Hospitali mtoe huduma kwa jamii acheni kutetea ujinga.
Nb: Wewe kwanza unahitaji kwenda darasani ujifunze kwanza kuandika.
Baadhi ya wavaa kobazi humu wanasema Hawaoni Umuhimu wa Kujenga Hospitali wala Mashule kwa sababu havina Faida.
Hii dini imejaa wapumbavu wengi sana.
Ni vyema na haki ukajiandikisha QTbila hela huwezi tibiwa
Yesu wa kenya au?tuonyeshe andiko la yesu kuoa.
| John 21:25 ► |
| New International Version Jesus did many other things as well. If every one of them were written down, I suppose that even the whole world would not have room for the books that would be written. |
Kama mlivyojitoa akili nyinyi kumpinga Bwana YesuIli uwe mfuasi wa dini ile lazima ujitoe akili yani uwe mpumbafu,ndio mana huwezi kuta mtu mzima na akili zake akasilimu,hivyo walichobakiza kufanya ni kuzaana hovyo na kulazimisha watoto waende madrasa ndio sehemu pekew iliyobaki ya kupata wafuasi.
Yesu wa kenya au?tuonyeshe andiko la yesu kuoa.
ujui kuwa kwenye kwenye mizoga ndiko waliko tai wengi?Ili uwe mfuasi wa dini ile lazima ujitoe akili yani uwe mpumbafu,ndio mana huwezi kuta mtu mzima na akili zake akasilimu,hivyo walichobakiza kufanya ni kuzaana hovyo na kulazimisha watoto waende madrasa ndio sehemu pekew iliyobaki ya kupata wafuasi.
Ili ni swali elewa yesu alioa ?Yesu wa kenya au?tuonyeshe andiko la yesu kuoa.
Mimi Mlimani sijafika kama uzaniavyo.Ila naamini kwa Jf hii nayo ijua mimi wakisoma unacho posti hakika walio wakubwa na watu wazima, wana kupuuza na kusema lipuuzi moja hili.Ana kalia kuzungumzia dini peke maana kwenye ubongo wake kitabu anacho kisoma nikimoja na ndo anacho bwabwaja nacho humu mtandaoni.Ndio sijafika wewe ulie fika mlimani umefanya nn katika jamii yako hasa huko kwenu?tofaoti na kujikweze heti umesoma ulimbukeni na ushamba unakusumbua
Umeambiwa chuo kikuu cha maana.Hakuna mtu anayeiingia ukirisito kwa kupewa msaada. Morogoro tuna chuo na shule nyingi tu. Na hospital zipo nyingi tu. Sijajua lengo lako nini. Uislamu unaongoza kwa maendeleo mengi nchini
Ushoga na umalaya mnaouzungumzia utatowekaUislam ukitawala dunia wewe utafaidikaje?Utakuwa Mkuu wa Wilaya?