jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Mambo yanayowangusha waislam kwenye maendeleo ya kaya zao ni:
1 polygamy: ni ngumu kiendelea kama huna mahusiano stable ya familia hii onazaa la watoto ambao hawana misingi imara ya kifamilia kwa hiyo kukosa uelekeo sahihii.pia resources nyingi hutumika kwenye recurrent expenditure za kuwa na kuhudumja wake
2. Msisistizo mdogo kwenye secular education.
3.kuamini sana kwenye ushirikiana
Kaangalie nyie washamba wa kisukuma ndo Wa kwanza kuzaa ovyo na umaskini mkubwa kanda ya ziwa ...kwanza hata malezi mabaya ,uvaaji shida yaani totally umaskini unawaandama na Maisha duniShida kubwa ni ule utaratibu wa hovyo wa kuzaa zaa hovyo bila mipango,kitendo cha uislamu kurahisisha suala la ndoa na talaka wajinga wengi wamelitumia vibaya,hivi sasa si vijana wala wazee wakiislam wanashindana kuoa na kuacha,wanawake wanatelekezwa punde tu akizaa,kwa namna hiyo huwezi pata familia imara wala jamii imara.
Msikiti ndio kituo Cha uislam,ndio msingi wa kuhuisha uislam
Tatizo ni kuwa uislam halisi umeachwa, pasipo kusimamisha utawala wa kiislam hayo uongeayo ni ndoto
Simamisha uislam msikiti isimame
Inakuhusu nn wakati unatumia kivuli wakati ni kafiri mla nguruwe unajulikanHuajibu swali mkuu.
Avatar yangu inakuhusu nini ?
Haya jibu swali langu.
ujinga unazidi katika jamii zetu,huko uliko toko ndiko waliko waisilamu na viongozi wao badala uwembie unaleta ujinga wako hapa hili kundilako lianze kututukana hili wewe na wenzio mfurahike sio?Maendeleo ni muhimu katika jamii za Kiislamu.
Uislamu na mendeleo ndiko kutakidhi mahitaji ya kimsingi ya watu.
Kiwango cha maendeleo duni katika maeneo ya Wailslamu hapa nchini kinaonyeshwa kwa kutumia mifano iliyo hai. Maeneo mengi ya Waislamu kuna tatizo kubwa la kukidhi mahitaji ya kimsingi ya watu. Hili linawafanya wasio waislamu kuulaumu Uislamu kuwa ni miongoni mwa sababu za kukosekana kwa maendeleo katika maeneo husika.
Inajadiliwa, sio kwamba uislamu hauna mbinu wala elimu za kiuchumi laa, ispokuwa waislamu wenyewe wameacha kufuata misingi iliyoasisiwa na Mtume wetu Muhammada (s.a.w). Kwamba uislamu daima umekuza shughuli za kiuchumi, na biashara na kipindi cha nyuma uislamu ulikuwa unachukuliwa kuwa njia bora ya kupata riziki ya mtu. Zaidi ya hayo, dhana ya maendeleo katika Uislamu ni mchakato muhimu, ambao unaboresha ustawi wa binadamu katika nyanja zote ikiwa ni pamoja na akhera. Vielelezo vya MAKKA na MADINA vinawasilishwa kama mojawapo ya njia za maendeleo katika Uislamu wetu.
Waislamu kutoka mtaa mmoja wanakutana mara 5 kwa siku (sala tano), waislamu wa kitongoji kimoja wanakutana mara 1 kwa wiki (Sala ya Ijumaa), waislamu wa mkoa mmoja wanakutana mara mbili kwa mwaka (Sala za Eid), waislamu kote duniani tena walio matajiri wanakutana mara moja kwa mwaka (Hija).
Mlolongo huo alituachia Mwenyezi Mungu s.w kupitia Mtume wetu Muhammada (s.a.w), Lakini kukutana kwetu huko hakutakua na manufaa yoyote ikiwa bado kutakuwa na ukosefu wa maendeleo kwa watu wetu.
Lengo la watu kukutana sio kuswali na kuondoka tu, watu wanatakiwa kujadili, kufahamiana, na kupanga mikakati ya kusonga mbele zaidi kielimu, kiuchumi, kiafya na kimaendeleo kwa ujumla. Nasio kuishia kuswali na kuondoka hata bila kupeana mikono.
Wenzetu wamechukua mfumo huo wa kukutana, leo utaona kuna jumuiya nyingi za Kikristo zinakutana kila wiki asubuhi mapema, leo utaona kuna umoja wa kimataifa (mataifa yote yanakutana) asili yake hii ni Uislamu. Lengo la kukutana misikitini ni kufanya vikao vya kheri kwa umoja wenu msonge mbele kimaendeleo.
Ifake wakati sasa misikiti iyanze kuhudumia watu na kuwafanyia watu mambo yaliyo mema, nasio watu siku zote kuihudumia misikiti. Moyo wa mtu umeumbwa kukipenda na kukithamini kile kitu kinachomjali, na moyo umeumbwa kukichukia na kukidharau kile kitu kisichomjali.
Misikiti mingi haina hata orodha (Record Keeping Books) ya kuwatambua waumini wake, idadi yao na shughuli zao. Misikiti mingi haina vipaombele katika swala la maendeleo, misikiti mingi haina orodha ya wajane, haina orodha ya mayatima, haina orodha ya wanafunzi walio kwama Masomo kwa ukata wa pesa, haina orodha ya wagonjwa, imekuwa ni sehemu ya kuswalia tu na kuondoka.
Msikiti ni kituo cha Kiislamu kinachotakiwa kuzalisha usasa wa kijamii na kiuchumi na maendeleo kwa ujumla.
Dini ni mfumo wa maisha ya mwanaadamu unaofuata sheria za MUNGU. Panapokuwa na dhiki inaashiria kwamba malengo ya Uislamu hayawezi kutimizwa, kwasababu watu hawajiwezi kwa kutofautiana kijamii na kiuchumi, rushwa na ukosefu wa haki. Haina faida kujenga msikiti ilihali wake za Masheikh wanazalishwa na Madaktari wa kiume, haina faida ya kujenga msikiti ilihali kuna kundi kubwa la vijana wa kiislamu wanakwama masomo kwa ukata wa pesa, haina faida ya kujenga msikiti ilihali wanawake wa kiislamu wanadhalilishwa kwenye mikopo ya Riba. Na mambo mengine ya kuudhi yanayoofanyika dhidi ya watu wetu.
Tusisahau kwamba ni kanuni na maadili ya Kiislamu ambayo yalisaidia jamii za Kiislamu kujenga ustaarabu wenye mafanikio makubwa na mafanikio yaliyoonyeshwa katika kukusanya rasilimali na kuunda fursa, na ambayo ilizisaidia jamii kufikia maendeleo makubwa ya kiuchumi hadi karne ya kumi na tisa.
Turudi katika misingi na kanuni zetu. Muislamu kupewa msaada na Kanisa inatia aibu ilihali misikiti ipo.
BAKIIF ISLAMIC
Kimara, Dar es salaam
wewe ulidunia inakusaidiaje na wakirisito wenzio amabao awaja soma?mbona wanawaona huku mitaani wamepaukianaNaam Sheikh, hao walioleta dini Afrika full kutafuta pesa, sembuse huku IKWIRIRI? Ambao wengi hata Ilmu dunia mtihan
usilamu kazi yake sio kujenga kazi hiyo ni ya serikali ndio wanachuka kodi uelewa wako shidaNani wa kumfunga paka kengele, ikiwa kiongozi mkuu wa nchi naye anaomba msaada wa kujengewa msikiti nchini mwake.
Bajeti ya ujenzi wa msikiti wa ghorofa mbili inatosha kujenga dispensary.
Ndani ya mtaa wetu pana misikiti minne mikubwa, ila huduma za afya mpaka ukimbilie mnazi mmoja
nyiyi wakirito mmeleta maendeleo gani? kupitia makanisa yenu? mbona wakirisito wengi wako vijijini wanajikuna vimbi iawatoka kwa uhafu,maedeleo yenu ni wizi tu na ufisadi serikalini kwa taharifa yako hapa nilipo nisehemu wanako ishi wakirisito asilimia 98 nyasa kawa danganye washenzi wenzenu hukoHaya mambo tukisema sisi tusiokiwa waislam tunashambuliwa na kutukanwa.
Sasa hatimaye ninyi wenyewe mnauona ukweli ambao tumekuwa tukiusema mara nyingi.
Huko Pemba wanaandamana kila leo, hawataki kujengwe Kanisa.Inferiority complex,wakisikia neno ukristo wanatetemeka sana,ndiomana hukimbilia kujiripua na kukataza ukrito katika maeneo yenye waislamu wengi ndio defense mechanism yao.
Wanampinga utapeli wa makanisa hata kagame alifuta kwa sababu ya makanisa ili kubalance ndo akafungia misikitini ila point ilikuwa matapeli(makanisa)Huko Pemba wanaandamana kila leo, hawataki kujengwe Kanisa.
Wanauogopa sana Ukristo hawa jamaa zetu.
Basi tu hawana cha kufanya.
Wangetawala Dunia wangehakikisha wanaufuta Ukristo kabisa.
Dini nyingine zingebaki hazina madhala kwao.
Kuna nchi ukikutwa na Biblia unashtakiwa na kunyongwa kabisa. Ni kosa la jinai.
Kama hamjui Uislamu ndio Mpinga Kristo mwenyewe.
Oneni wanavyotoa jasho la shingo kupinga kila kitu kilicho andikwa kwenye Biblia.
Bila kujua kuwa Qurani imekopi na kupest na kupotosha maneno ya Kwenye Biblia. Na wahusika wake Wayahudi.
Mimi wala sipati tabu nimesha wajua
Ni wafuasi wa Mpinga Kristo Allah na Muhammadi.
kuwa muelewa na mchunguzi hao wakirisito maendeleo walio yaleta wao kama wao kwenye jamii ni yapi?kama hosipitl serikali inawapa ruzuku shule pia hizo hasiptali hata kama mkirisito mwenzao anakufa awawezi hatampa panadol wamefanya maendeleo gani? labda wizi wa mali za ummah na kutoa kanisaniKuna mambo yanafanyiwa manipulation haswa kwa wanaofuatilia kwa mfano mambo kama ya kiuchumi yameelezwa hata umuhimu wa kutafuta elimu kwamba ni faradhi(kwa mwanamke na mwanaume) ila haya mambo watu wanayaacha kabisa wanafuata sehemu ndogo wanayoona nyepesi .
Kiufupi watu hawafuati uislamu wanafanya manipulation na kusoma elimu stahiki.. Alhamdulliah nimesoma taasisi mbili tofauti na zote mpaka sasa walianza na nursery schools mpaka dispensary pamoja na mradi wa kusomesha mayatima.
Miaka 20 iliyopita ukitembelea Maeneo ya Waislamu unaweza tokwa na mchozi.nyiyi wakirito mmeleta maendeleo gani? kupitia makanisa yenu? mbona wakirisito wengi wako vijijini wanajikuna vimbi iawatoka kwa uhafu,maedeleo yenu ni wizi tu na ufisadi serikalini kwa taharifa yako hapa nilipo nisehemu wanako ishi wakirisito asilimia 98 nyasa kawa danganye washenzi wenzenu huko
Ndo hapo sasa wanajifanya wajuaji ila wanaendesha izo taasisi kwa kama biasharakuwa muelewa na mchunguzi hao wakirisito maendeleo walio yaleta wao kama wao kwenye jamii ni yapi?kama hosipitl serikali inawapa ruzuku shule pia hizo hasiptali hata kama mkirisito mwenzao anakufa awawezi hatampa panadol wamefanya maendeleo gani? labda wizi wa mali za ummah na kutoa kanisani
Mshamba kaangalie kipind cha ukoloni kabla ya uhuru bagamoyo ilikuwa then fananisha na kwenu ... Nyerere baada ya uhuru ndo alimmaliza izo sehemu ila watu walikuwa na empire zaoMiaka 20 iliyopita ukitembelea Maeneo ya Waislamu unaweza tokwa na mchozi.
Sema Serikali iliamua kupeleka maendeleo kila mahali.
Chukulia mfano Bagamoyo.
Miaka ya 20 iliyopita Bagamoyo Mjini kulikuwa hakutazamiki kabisa.
Sifa kuu ilikuwa Uchawi.
wakirisito hosipitali yao inayo wasaidia wakina mama ni hipi na chuo?ujui kuwa hizo shule viuo na hasiptali serikali inawapa ruzuku(kodi yako) tatizo waisilamu walio wengi jf hawa jitambui uzi huu kauanzisha mkirisito hili watutukane heti nao wanachangia hovioKujivika miwani ya mbao kwa kutokuliona tatizo sio suluhisho la tatizo. Tangu uhuru hadi sasa hatuna chuo kikuu cha maana kilicho sawasawa, tangu uhuru hadi sasa hatuna japo Maternity Hospital hata moja inayo elewaka walau kuwasaidia wakinamama wa wakiislamu. Hatuna mifumo yoyote ya kuwasaidia waumini kiuchumi, kiasi kwamba mtu akisaidiwa na kanisa inakuwa vyepesi kwake kuritadi.
Kwani hakuna Mashehe Wachawi ?Wanampinga utapeli wa makanisa hata kagame alifuta kwa sababu ya makanisa ili kubalance ndo akafungia misikitini ila point ilikuwa matapeli(makanisa)
huyo ni mwenzenuKAtika watu smart na wewe umo!..ingawa najua watakupinga wenzako
wao wamefanya maendeleo yapi? mbona tuko nao mitaa tunawaona walivio pauka kama ni hosipitali na shule hazina msaada kwa wakirito wala waisilamu ingawa serikali na gharamia asilimia 75 ya uendeshaji wameleta maedeleo yapi?Hakuna mtu anayeiingia ukirisito kwa kupewa msaada. Morogoro tuna chuo na shule nyingi tu. Na hospital zipo nyingi tu. Sijajua lengo lako nini. Uislamu unaongoza kwa maendeleo mengi nchini
kwani tabora wapo waisilamu peke yake?taja mkoa wilaya au kijiji wakirisito au kanisa walipo jenga shule maji hosipitali barabala kisha watu wakawa wananufaika ukiweza taja vijiji waakoishi wakirito tuNenda Tabora uone kulivyopoa
Pale kilimani karibu na hospitali kuna msikitini mpya unajengwa wakati hapo nyuma ccm maisala kuna msikitini mkubwa tu na watu hawatoshei.... Ndani ya mtaa wetu pana misikiti minne mikubwa, ila huduma za afya mpaka ukimbilie mnazi mmoja