Tupunguze kujenga Misikiti, hakuna Uislamu kama hakuna maendeleo ya waumini

Usije kwa kujifanya uko upande fulani then kumbe tunakuja fikra hata avatar yako iko against.

Tambua hakuna chuo cha dini sio UDSM, SUA, UDOM ,ARDHI ivyo vya st. Sijui ni takataka wala sio vya maana
Huajibu swali mkuu.

Avatar yangu inakuhusu nini ?

Haya jibu swali langu.
 
Huelewi izo pesa zinatoka wakati source ya uchumi wetu ni zaka na sadaka kwa vile bongo sio nchi ya kidini so hatuwezi kukusanya kuanzia juu..watu wanakusanya kupitia Taasisi ambazo ndo wamiliki wa misikitini usione Yale majina sijui masjid "Tawqa" zile ni taasisi.

Tambua lengo lenu kuinua mtu kutoka chini kabisa tukuwa na cycle yetu nzuri ya ukusanyaji mapato na kufikisha kwa walengwa kama special groups sio biashara .

Wewe mwenyewe kumsomesha mwanao st Francis unashindwa na unataka je unanufaika na nn na ile shule wakati uwezo wako mdogo [emoji23][emoji23] na wanataka pesa.
Mtoa mada anasema, Hizo taasisi unazotaja zinazowapa misaada, zisiishie tu kujenga misikiti, Zijenge na Vituo vya huduma kwa jamii kama Shule/Vyuo vikuu na Hospitali za kueleweka.

Yaani kwa jinsi ulivyo mgumu kuelewa haya mambo, wala sishangai ni kwa nini waislam mpo nyuma kwenye mambo mengi kiasi hiki.
 
Asante mtoa mada, uko vizuri sana. Zaidi nitakuambia siku nyingine.
 
Meno mengi yapi? Huelewi hata uambiwe vip mtoa mada kasema tuna uchumi wetu ..haya wewe unajua huo uchumi wetu au shobo [emoji23][emoji23]umekuja na list .

Unapewa moja mviliy tatu unakurupuka mla nguruwe..
Umeshapanic tayari. Hii mada haihusu nguruwe.

Swali langu lipo pale juu lijibu, Acha janjajanja ya maneno
 
Mtoa mada anasema, Hizo taasisi unazotaja zinazowapa misaada, zisiishie tu kujenga misikiti, Zijenge na Vituo vya huduma kwa jamii kama Shule/Vyuo vikuu na Hospitali za kueleweka.

Yaani kwa jinsi ulivyo mgumu kuelewa haya mambo, wala sishangai ni kwa nini waislam mpo nyuma kwenye mambo mengi kiasi hiki.
Jamani ,turudie kusoma huko juu Tena? Kasema tuna uchumi wetu we unaujua? Au unakurupuka ..Ksema watu Wana uchumi dunia wengi sasa hata ujenge shule watawez kutoa iyo ada.

Point ni kupata huduma bure au kwa pesa ya kiasi dogo,je Nan yupo tayar kujenga hospital au vyuo vinavyotoa huduma kwa kiwango cha bure ili kuwafikia walengwa(hao wenye uchumi dunia) ndo nikasema kupitia uchumi wetu ili watu tukusanye pesa ili kutoa ruzuku za kuendesha utoaji wa huduma pamoja na kuwalipa watoa huduma .

Kwa akili yako mayatima na fukara wataweza kuafford kama ni huduma za fedha..

Tushachangia chuo kumlipia mwanafunzi mkristo (nimetaja makusudi ili ujue dini zote watu uchumi ni mbovu kwa watu wengi) ili asome mwingine alikuwa vizuri ila alishindwa akapostpone kwa kukosa ada Tena ili kiasi fulani kakusanya imebaki kama laki 5 tu na anaenda kanisani daily je Lina msaada gani kwake?
 
Uchumi wetu anaongelea mtoa mada unaujua kwanza then tuendelee ?[emoji23]
Naona maswali ninayokuuliza unayakimbia.

Hapa Nakuuliza swali lingine... Huo uchumi wenu unaozungumzia, kwa nini Haujengi vituo vya huduma kama Shule/Vyuo na Hospitali?
 
Unaujua ?

Swali lipo wapi?😂😂 Wkati simple kwa tunaojua sema kama unaujua kwanza ...usikurupuke hatumchangii mchungaji ananunue gari hapa .
 
Unaujua ?

Swali lipo wapi?[emoji23][emoji23] Wkati simple kwa tunaojua sema kama unaujua kwanza ...usikurupuke hatumchangii mchungaji ananunue gari hapa .
1. Hii mada haihusu gari la mchungaji
2. Usijichekeshe-chekeshe kwenye mada, wewe ni mtoto wa kiume

Now Back to my question [emoji116]

Huo uchumi wenu unaozungumzia, kwa nini Haujengi vituo vya huduma kama Shule/Vyuo na Hospitali?
 
Mtoa mada kasema 👉uislamu katika uislamu tuna uchumi wetu yaani mfumo wetu ..umeanza kujichekesha wewe wala sina shobo na mla Mauchafu (nguruwe)

Swali nimekuuliza je huo uchumi unaujua ila nikuonyesha je upo applicable hapa Tanzania au haupo ambao wenzetu ndo wanajengea na kuendesha izo huduma pamoja ya kufadhili mayatima ..Noana danadana nyingi then elimu ni zero.

Unaposhindwa kuelewa kwa utashi ni kwamba huo uchumi haupo hata Bakwata hawana izo mambo ya kukusanya zaka kama hujui..je nan atasimamia cycle yake kama ukusanyaji wa mapato...kwa level ya taasisi ni uongo wengi wameishia kweny dispensary na nursery school.

Hata iyo Muhimbili hamkujenga ni ufadhilu kutoka nje ..

Kama muelewa niruhusu huo uchumi wa kiislamu nikuonyesha jinsi unavyofanya kazi katika kusaidia watu kiuchumi ila kwanza tambua Tanzania haupo applicable nikiwa na maana kwamba hatuufuati.
 
Mtoa mada kasema [emoji117]uislamu katika uislamu tuna uchumi wetu yaani mfumo wetu ..umeanza kujichekesha wewe wala sina shobo na mla Mauchafu (nguruwe)

Huyu sasa ndio mfano mzuri wa waislam anaowaongelea mtoa mada.

Kila mtu aje ajionee hapa
 
Naona umelike comment yangu niliposema wewe ni mfano mzuri wa waislam anaowaongelea mtoa mada.

Nimemaanisha wewe ni mfano mzuri wa waislam wajinga (ujinga sio tusi, ni kukosa maarifa) anaowaongelea mtoa mada.

Mna ujinga mwingi sana, na umeudhihirisha ujinga huo katika mada hii.
 
Hata wewe ni zao la nasaba yako ujinga wa kulishwa Mauchafu tangu mdogo.

Unakuwa upumbavu kabisa yaani hujui unaelewesha hutaki ..Kaa pembeni
 
Mambo yanayowangusha waislam kwenye maendeleo ya kaya zao ni:
1 polygamy: ni ngumu kiendelea kama huna mahusiano stable ya familia hii onazaa la watoto ambao hawana misingi imara ya kifamilia kwa hiyo kukosa uelekeo sahihii.pia resources nyingi hutumika kwenye recurrent expenditure za kuwa na kuhudumja wake

2. Msisistizo mdogo kwenye secular education.
3.kuamini sana kwenye ushirikiana

Una hoja nzito sana! Japo zitawaumiza wahusika ila hapa umeligusa shina lenyewe na waliolikalia.
 
Back
Top Bottom