Tupunguze kujenga Misikiti, hakuna Uislamu kama hakuna maendeleo ya waumini

Tupunguze kujenga Misikiti, hakuna Uislamu kama hakuna maendeleo ya waumini

Umesema nyie waislam hamfanyi biashara za vyuo. Nina maswali 2 kwako.

1. Pale MuM morogoro, watu wanasoma bure?

2. Umesema nyie waislam hamfanyi biashara za vyuo, MNAFANYA BIASHARA GANI?
Umemuuliza habari za Tanzania yeye anakutajia mambo ya Misri na Nigeria, ni vitu vya ajabu kabisa hawa huwezi kuwaelewa na inashangaza.
 
Swadakat jaalia sio kujenga masjid pekee wakumbusheni hao wafadhili wenu kuwa hata kujenga zahanati, shule & vyuo vya ufundi pia ni sadakat jaaria
 
Yani mimi mnaniacha hoi mwaka jana mwishoni nilitembelea Dar es salaam eti pale Kawe kuanzia ukwamani I think mpaka kwenye mnara wa Clouds kuna misikiti mitatu mikubwa, yani mikubwa kweli... sasa nikajiuliza kwamba wanawaumini wengi wasingetosha kwa msikiti mmoja? Yani ni walking distance kabisa... nikajisemea si angalau basi hata huo msikiti mmoja wangejenga zahanati? Nilitafakari sana mwishoni nikainua macho yangu juu nikafanya ishara ya msalama nikamwambia Mungu NINAKUSHUKURU KWA KUNIFANYA NIWE MKRISTO, NI KWA NEEMA TU AMBAYO SI KILA MTU UMEMJALIA
Haya ulivyo mnafiq ulichoona ni msikiti wa ghorofa 3 Ukwamani kwa ronda Kawe sokoni ghorofa 3 pale pekasi kuna msikiti ghorofa 2 unatazama uwanya wa pekasi kwa mwamposa kweli, mbona ukosema shule ya fedha kalibia na jengo la nida mbona hapo chiki yake nyuma ya pekasi kuna shule nzuli ya qblatain mbona ujasema

Utakufa na unafq wako hao hayo mashule ya wamiliki waisalamu haya tusaidii kwani hawasomeshi bule

hata wewe haya mashule vio mahosipitali ya kanisa haya kusaidii hata uyasifie vipi kwani uwezi somesha mtoto wako bule anae faidi ni mtoto wa mchungaji tu wewe watoto wako kayumba tu ndio hadhi yako
 
View attachment 2515784
Kazi huko wana wamakusanya na wakitoa izo huduma wanafanya biashara.
Sasa moja ya lengo la kufanya ili aliyoyazungumza mleta mada yawezekane ni pamoja na ninyi waislam kutoa zaka na sadaka kamili ili zikasaidie wale wasiokuwa na uwezo sasa...right?

So kwa muktadha huo huoni haya ya kwenye picha hapo juu yakitokea huko misikitini?huyo hapo kwenye picha hawezi kuwa KKKT,RC wala Anglican huyo ni wale mafala wa makanisa ya mume na mke hela wanaenda jengea hotel watu wafanyie uzinzi.

Acha adai namuunga mkono.
 
Sasa moja ya lengo la kufanya ili aliyoyazungumza mleta mada yawezekane ni pamoja na ninyi waislam kutoa zaka na sadaka kamili ili zikasaidie wale wasiokuwa na uwezo sasa...right?

So kwa muktadha huo huoni haya ya kwenye picha hapo juu yakitokea huko misikitini?huyo hapo kwenye picha hawezi kuwa KKKT,RC wala Anglican huyo ni wale mafala wa makanisa ya mume na mke hela wanaenda jengea hotel watu wafanyie uzinzi.

Acha adai namuunga mkono.
Uko sahihi mtoa mada kasema uchumi huo wa zaka ila chombo kama Bakwata hawafuati means wapo against na uislamu na chanzo ya yote ...Wao kutoa talaka na kugawa mirathu hawana cha maana
 
Maendeleo ni muhimu katika jamii za Kiislamu.
Uislamu na maendeleo ndiko kutakidhi mahitaji ya kimsingi ya watu.

Kiwango cha maendeleo duni katika maeneo ya Wailslamu hapa nchini kinaonyeshwa kwa kutumia mifano iliyo hai. Maeneo mengi ya Waislamu kuna tatizo kubwa la kukidhi mahitaji ya kimsingi ya watu. Hili linawafanya wasio waislamu kuulaumu Uislamu kuwa ni miongoni mwa sababu za kukosekana kwa maendeleo katika maeneo husika.

Inajadiliwa, sio kwamba uislamu hauna mbinu wala elimu za kiuchumi laa, ispokuwa waislamu wenyewe wameacha kufuata misingi iliyoasisiwa na Mtume wetu Muhammada (s.a.w). Kwamba uislamu daima umekuza shughuli za kiuchumi, na biashara na kipindi cha nyuma uislamu ulikuwa unachukuliwa kuwa njia bora ya kupata riziki ya mtu. Zaidi ya hayo, dhana ya maendeleo katika Uislamu ni mchakato muhimu, ambao unaboresha ustawi wa binadamu katika nyanja zote ikiwa ni pamoja na akhera. Vielelezo vya MAKKA na MADINA vinawasilishwa kama mojawapo ya njia za maendeleo katika Uislamu wetu.

Waislamu kutoka mtaa mmoja wanakutana mara 5 kwa siku (sala tano), waislamu wa kitongoji kimoja wanakutana mara 1 kwa wiki (Sala ya Ijumaa), waislamu wa mkoa mmoja wanakutana mara mbili kwa mwaka (Sala za Eid), waislamu kote duniani tena walio matajiri wanakutana mara moja kwa mwaka (Hija).

Mlolongo huo alituachia Mwenyezi Mungu s.w kupitia Mtume wetu Muhammada (s.a.w), Lakini kukutana kwetu huko hakutakua na manufaa yoyote ikiwa bado kutakuwa na ukosefu wa maendeleo kwa watu wetu.

Lengo la watu kukutana sio kuswali na kuondoka tu, watu wanatakiwa kujadili, kufahamiana, na kupanga mikakati ya kusonga mbele zaidi kielimu, kiuchumi, kiafya na kimaendeleo kwa ujumla. Nasio kuishia kuswali na kuondoka hata bila kupeana mikono.

Wenzetu wamechukua mfumo huo wa kukutana, leo utaona kuna jumuiya nyingi za Kikristo zinakutana kila wiki asubuhi mapema, leo utaona kuna umoja wa kimataifa (mataifa yote yanakutana) asili yake hii ni Uislamu. Lengo la kukutana misikitini ni kufanya vikao vya kheri kwa umoja wenu msonge mbele kimaendeleo.

Ifake wakati sasa misikiti iyanze kuhudumia watu na kuwafanyia watu mambo yaliyo mema, nasio watu siku zote kuihudumia misikiti. Moyo wa mtu umeumbwa kukipenda na kukithamini kile kitu kinachomjali, na moyo umeumbwa kukichukia na kukidharau kile kitu kisichomjali.

Misikiti mingi haina hata orodha (Record Keeping Books) ya kuwatambua waumini wake, idadi yao na shughuli zao. Misikiti mingi haina vipaombele katika swala la maendeleo, misikiti mingi haina orodha ya wajane, haina orodha ya mayatima, haina orodha ya wanafunzi walio kwama Masomo kwa ukata wa pesa, haina orodha ya wagonjwa, imekuwa ni sehemu ya kuswalia tu na kuondoka.
Msikiti ni kituo cha Kiislamu kinachotakiwa kuzalisha usasa wa kijamii na kiuchumi na maendeleo kwa ujumla.

Dini ni mfumo wa maisha ya mwanaadamu unaofuata sheria za MUNGU. Panapokuwa na dhiki inaashiria kwamba malengo ya Uislamu hayawezi kutimizwa, kwasababu watu hawajiwezi kwa kutofautiana kijamii na kiuchumi, rushwa na ukosefu wa haki. Haina faida kujenga msikiti ilihali wake za Masheikh wanazalishwa na Madaktari wa kiume, haina faida ya kujenga msikiti ilihali kuna kundi kubwa la vijana wa kiislamu wanakwama masomo kwa ukata wa pesa, haina faida ya kujenga msikiti ilihali wanawake wa kiislamu wanadhalilishwa kwenye mikopo ya Riba. Na mambo mengine ya kuudhi yanayoofanyika dhidi ya watu wetu.

Tusisahau kwamba ni kanuni na maadili ya Kiislamu ambayo yalisaidia jamii za Kiislamu kujenga ustaarabu wenye mafanikio makubwa na mafanikio yaliyoonyeshwa katika kukusanya rasilimali na kuunda fursa, na ambayo ilizisaidia jamii kufikia maendeleo makubwa ya kiuchumi hadi karne ya kumi na tisa.

Turudi katika misingi na kanuni zetu. Muislamu kupewa msaada na Kanisa inatia aibu ilihali misikiti ipo.

frauenindermoschee.jpg



BAKIIF ISLAMIC
Kimara, Dar es salaam
Nafikiri history huijui ndio maana umekwenda ku generalised Waislam kwa ujumla na kulaumu sn lakini umeshindwa kutaambua JUMUIA yoyote ina simamiwa na TAASISI iliye kuwa IMARA sasa jiulize wewe kama wewe BAKWATA ni institution ya namna gani Ukipta jibu basi inatosha kuelewa mfumo uliopo.

Nenda vikindi na sehemu nyingi za DAR ES SALAAM kaone RC walivyo kuwa na maeneo makubwa hasa wamepewa au kununua kwa hela kidogo na wizira na wala sio kosa kwao kuwa na maeneo mengi sababu wanatumia opportunities wanayo pata kama taasisi sasa waulize BAKWATA wana nini ? Hawana maeneo yoyote mapya zaidi ya yale ya zamani na mengi wameuza.

Sent from my SM-S901B using JamiiForums mobile app
 
Jamani ,turudie kusoma huko juu Tena? Kasema tuna uchumi wetu we unaujua? Au unakurupuka ..Ksema watu Wana uchumi dunia wengi sasa hata ujenge shule watawez kutoa iyo ada.

Point ni kupata huduma bure au kwa pesa ya kiasi dogo,je Nan yupo tayar kujenga hospital au vyuo vinavyotoa huduma kwa kiwango cha bure ili kuwafikia walengwa(hao wenye uchumi dunia) ndo nikasema kupitia uchumi wetu ili watu tukusanye pesa ili kutoa ruzuku za kuendesha utoaji wa huduma pamoja na kuwalipa watoa huduma .

Kwa akili yako mayatima na fukara wataweza kuafford kama ni huduma za fedha..

Tushachangia chuo kumlipia mwanafunzi mkristo (nimetaja makusudi ili ujue dini zote watu uchumi ni mbovu kwa watu wengi) ili asome mwingine alikuwa vizuri ila alishindwa akapostpone kwa kukosa ada Tena ili kiasi fulani kakusanya imebaki kama laki 5 tu na anaenda kanisani daily je Lina msaada gani kwake?
Hizo pesa unazikusanyia wapi wakati wewe ukiingia Masjid sadaka unatoa sarafu ya mia tano huku mfukoni una laki tatu?

Huyo mwanafunzi itakuwa mlimsilimisha kwanza ndo mkampa msaada (sisemi kwamba huwa hamsaidii ila mtasaidia pale mmeona uelekeo wa yeye kuja kwenu siku moja)
 
Hizo pesa unazikusanyia wapi wakati wewe ukiingia Masjid sadaka unatoa sarafu ya mia tano huku mfukoni una laki tatu?

Huyo mwanafunzi itakuwa mlimsilimisha kwanza ndo mkampa msaada (sisemi kwamba huwa hamsaidii ila mtasaidia pale mmeona uelekeo wa yeye kuja kwenu siku moja)
Hatuna uchumi wa kiislamu ndo chanzo cha yote
 
kulipo kodi maendeleo yanaletwa kupitia kodi zao barabara nk hata wewe kodi yoko himo humo,

tunakuja mnapo sema nyiyi wakiriso kama wakirisito mmeleta maendeleo tuatajie barabala maji shule hosiptali nk mlio yaleta upitia pesa zenu na elimu yenu

nitajie mliko wengi kama njombe songea mbeya iringa sumbawanga mpanda kirimajaro taja usilete polojo
Kwanza kabisa sijaelewa kama umeniquote vibaya au swali lako umedhamiria.

Pili,umeielewa mada iliyopo mezani inazungumzia nn?

Tatu, wapi niliposema wakristo wameleta maendeleo?

Nne, mada inazungumzia waislam na maendeleo yao binafsi. Mleta mada akasema mfano kuna haja gani ya kujenga msikiti, ilhali hakuna hospital ambayo ingewaondolea wake wa mashekhe tabu ya kuzalishwa na wanaume?. Huko juu nikaandika, tukiamua kuweka orodha ya matajiri hapa nchini, majina yatakayo tokea, mengi yatakuwa ni waislam, hapo ndio nikauliza, Wana impact gani katika Uislam?

Nasubiria majibu. Weka mihemko pembeni, tujadili kwa utulivu
 
Hatuna uchumi wa kiislamu ndo chanzo cha yote
Sijui ni mimi kichwa changu kimekuwa kigumu kukuelewa!!!

Unaposema HATUNA UCHUMI WA KIISLAMU unamaanisha nini?kwamba uchumi kwa mtu mmoja mmoja?wakati mada inakataa kwamba uchumi kwa mtu mmoja mmoja haupo?

Nifafanulie hapo
 
BAKIIF Islamic hata huku kwenye ukristo hasa PENTECOSTALS kazi yetu kubwa kilasiku tunawaza kufungua makanisa na kufungulia mziki Kwa fujo ....ufike muda walokole nao wajenge hospital,shule na huduma zingine za jamii kama ilivyo Kwa katoliki na kkkt
wakute huko pekesi kawa mbie au wapigie simu
 
Ukiingia ktk mawaidha unatishwa, utaambiwa dunia ni takataka, tusiisumbukie dunia tujenge akhera, Kwa jins waislam wanavyoitusi Dunia utafikiri kama Mungu aliiumba kwa bahati mbaya yan.

adi mawaidha yanaisha umeshatishwa vibaya macho yamekuiva, unapunguza kasi ya uchumi, unaona ata nikijiimarisha kiuchumi nitakufa nitaacha kila kitu,

waislam wa Africa wataendelea kuishi maisha ya dhiki adi apo watakapoamka, tazama waarabu ni swala tano lakin wanatafuta pesa vibaya na kuwa matajiri wakubwa.

Africa kuwa muislam ni kuishi kienyeji enyeji ndio Mungu anakuona
 
Sijui unapinga ni na kwa sababu gani maana mwenzio aliyoyasema siyo kwamba hayaoni anayaona wewe unataja maendeleo ya hapo Morogoro ina maana waislam wapo Morogoro tu?
wisilamu afadhiri wake ni muisilam nenda wewe kajenge shule hositali kisha waisilam watibiwe bule kama unavio taka kazi kulaumu tu hata huko msikitini kwanza upajui
 
Hao ktk bold wanatoa sana sadaka na michango mbalimbali but ninyi huwa mnawacheka kwamba ni wajinga wanapelekea hela mapadre na wachungaji.

Mkiiga kwao mkubali kuwa watoaji.
hiyo michango hao watoaji inawdaidia nn?
 
Hakika Sheikh. Waislam Wana vyuo vikuu vingi kuanzia Madrassa Universities
vio havina msaada katika uwisilam viwepo visiwepo yote sawa tu kinacho msaidia muisilam kusoma nihela yake tu hata ww kwenye hizo shule za kanisa hazikusaidii unaishia kuchangia tu anae faidika ni mchungaji wewe unapauka tu na kusoma kayumba
 
Back
Top Bottom