Tupunguze kujenga Misikiti, hakuna Uislamu kama hakuna maendeleo ya waumini

Tupunguze kujenga Misikiti, hakuna Uislamu kama hakuna maendeleo ya waumini

Nahisi wangeenda Mtwara wangejionea waislam walivyo na vijumba vya ajabu ila misikiti imepauliwa na Msauzi
hata ifakala mahenge makanisa ya meota mizizi kabla ya uhuru lakini wandamba na wapogolo masikini viongozi wao ndio mtajiri

nenda nyasa kwa kina kolimba komba kunjombe njoo mpaka songea wakirisito huko niwao tu na nguluwe wao lakini umasikini ulioko huko hatari na uchawi njoo sumba wabawanga mpanda umasikini mtu na uchawi tena huko ndiko waliko wakirito tu njoo mbeya iringa njombe kazi kuchuna ngozi watu tu huko hakuna waisilam kaangalie umasikini ulivio kithiri mkiristo mshamba usio tembea kazi kusifia mali za kanisa tu mbona azikuaidii
 
Ndugu yangu huku Pentecostal tunatoa Sana sadaka isipokuwa shida hizo pesa zinaenda Kwa MTU mmoja Tu tofauti na taasisi kama Catholic na kkkt hawa jamaa wanaona mbali Sana,hii mada ya Leo inatusema hata huku Kwa walokole Kwa mfano mtaa ambao naishi kuna zaidi ya makanisa ya kilokole zaidi ya 7 yaani kila MTU anafungua Tu kanisa,
Tena afadhali Kwa waislamu wanajenga misikiti Kwaajili ya waumini wote lkn Sisi tunaanzisha kanisa Kwaajili yangu na maisha yangu
wewe acha unafiki nenda kawambie huku ayatuhusu hapa
 
Sijui ni mimi kichwa changu kimekuwa kigumu kukuelewa!!!

Unaposema HATUNA UCHUMI WA KIISLAMU unaamisha nini?kwamba uchumi kwa mtu mmoja mmoja?wakati mada inakataa kwamba uchumi kwa mtu mmoja mmoja haupo?

Nifafanulie hapo
Uchumi wa kiislamu sidhani Kama umenielewa ili kuja wasaidia mayatima, mafukara hata mnapotoa fungus la kumi iyo ndo target kuwafikia walengwa kama special group hao mayatima na mafukara.
 
Ifake wakati sasa misikiti iyanze kuhudumia watu na kuwafanyia watu mambo yaliyo mema, nasio watu siku zote kuihudumia misikiti. Moyo wa mtu umeumbwa kukipenda na kukithamini kile kitu kinachomjali, na moyo umeumbwa kukichukia na kukidharau kile kitu kisichomjali.
Hapa sijakuelewa, unaposema Msikiti ianze kuwahudumia watu unamaanisha nini ?

Kwani msikiti wa Mtume ulikuwa unawahudumia vipi watu au misikiti ya waja wema inawahudumia vipi watu ?

Unachotakiwa kukifanya wewe ni kuwahimiza watu wasome Uislamu wao mengine yatafata kupitia huko huko, ndiyo maana hata Mtume alianza kuwapa watu Elimu ya kumjua Allah kisha mengine yakafata. Watu biashara au kutafuta Hela ni jambo la kimaumbile halikwepeki. Ndiyo maana tukishasali tunaambiwa tukatawanyike katika mgongo wa ardhi kutafuta rizqi.
 
Kwanza kabisa sijaelewa kama umeniquote vibaya au swali lako umedhamiria.

Pili,umeielewa mada iliyopo mezani inazungumzia nn?

Tatu, wapi niliposema wakristo wameleta maendeleo?

Nne, mada inazungumzia waislam na maendeleo yao binafsi. Mleta mada akasema mfano kuna haja gani ya kujenga msikiti, ilhali hakuna hospital ambayo ingewaondolea wake wa mashekhe tabu ya kuzalishwa na wanaume?. Huko juu nikaandika, tukiamua kuweka orodha ya matajiri hapa nchini, majina yatakayo tokea, mengi yatakuwa ni waislam, hapo ndio nikauliza, Wana impact gani katika Uislam?

Nasubiria majibu. Weka mihemko pembeni, tujadili kwa utulivu
unapo sema waisilam hawana maendeleo kinyume chake nyiyi mna maendelo,swali maendeleo mlio yafanya kuwa saidia hao wakiristo ni yapi? hao matajiri uao wataja kwani lazima wajenge hosiptali tu masheri uyaoni viwanda mabasi pia ndio wanao ongoza kuajiri watu hapa tz

pia kodi wanalipa kubwa je nyiyi hizo hosipitali na vio na mashule yawasidia nini nyiyi wakina miujiza?
 
Ukiingia ktk mawaidha unatishwa, utaambiwa dunia ni takataka, tusiisumbukie dunia tujenge akhera, Kwa jins waislam wanavyoitusi Dunia utafikiri kama Mungu aliiumba kwa bahati mbaya yan.

adi mawaidha yanaisha umeshatishwa vibaya macho yamekuiva, unapunguza kasi ya uchumi, unaona ata nikijiimarisha kiuchumi nitakufa nitaacha kila kitu,

waislam wa Africa wataendelea kuishi maisha ya dhiki adi apo watakapoamka, tazama waarabu ni swala tano lakin wanatafuta pesa vibaya na kuwa matajiri wakubwa.

Africa kuwa muislam ni kuishi kienyeji enyeji ndio Mungu anakuona
wewe faita imani yako ya waisilamu tuachie wenyewe na ufukara wetu

lakini sidhani kama kuna unacho miliki tofaoti na kisimu tu hicho hata huko kwenu wakiristo mbona ufukara mpo? au nayiyi amuiangaikii dunia unajidanganya tu
 
Uchumi wa kiislamu sidhani Kama umenielewa ili kuja wasaidia mayatima, mafukara hata mnapotoa fungus la kumi iyo ndo target kuwafikia walengwa kama special group hao mayatima na mafukara.
Sasa si ndicho mada ilichokitaka?

Kumbe tunazunguka hapa hapa muda wote huo?ndiyo mtoe sasa sadaka na zaka pia mzingatie kukutana baada ya swala zenu ili haya yawezekane.
 
wewe faita imani yako ya waisilamu tuachie wenyewe na ufukara wetu

lakini sidhani kama kuna unacho miliki tofaoti na kisimu tu hicho hata huko kwenu wakiristo mbona ufukara mpo? au nayiyi amuiangaikii dunia unajidanganya tu
unahisi unajua kumbe ujui, kumiliki Simu ndio umeona kitu cha maana sana kwako
 
Swadakat jaalia sio kujenga masjid pekee wakumbusheni hao wafadhili wenu kuwa hata kujenga zahanati, shule & vyuo vya ufundi pia ni sadakat jaaria
farahi sisi waisilamu hatujengi shule wala hospitali tutatumia vienu si basi tutalipa hela lakini hela hiyo aikufikii ww bali mchungaji na wanawe tu
 
unapo sema waisilam hawana maendeleo kinyume chake nyiyi mna maendelo,swali maendeleo mlio yafanya kuwa saidia hao wakiristo ni yapi? hao matajiri uao wataja kwani lazima wajenge hosiptali tu masheri uyaoni viwanda mabasi pia ndio wanao ongoza kuajiri watu hapa tz

pia kodi wanalipa kubwa je nyiyi hizo hosipitali na vio na mashule yawasidia nini nyiyi wakina miujiza?
Mkuu, hebu Punguza munkari ili tuweze kuelewana. Sidhani kama umeelewa msingi wa hoja alizoleta aliyeanzisha mada. Huu Uzi, hauongelei wakristo au ukristo. Na pia nikuambie jambo jingine, inawezekana sana mtu kuongelea Uislam na waislam bila kuhusisha ukristo na wakristo.

Hapo nilipo bold, hauko sahihi, Mimi naongea kwa kuzingatia msingi wa mada inayojadiliwa, na wala hakuna haja ya kusema kinyume cha jambo fulani, basi ni jambo jingine.

Ukitaka tujadili Ukristo na maendeleo ya waikristo, basi hiyo ni mada nyingine, ukipenda ianzishe tutachangia.

Mleta mada, ametolea mfano kukosekana kwa taasis za elimu ya juu za maana zilizopo chini Waislam, kukosekana kwa hospital n.k. Mifano yake alikuwa amelenga kwenye vitu au mambo ambayo yanagusa direct Waislam. Kuongoza kulipa kodi au kujenga Petro stations, hakuna direct impact kwa maisha ya waislam.

Hiyo bold ya chini kabisa, ni maneno yanayotoka kwa mtu mwenye jazba. Huna haja ya kutoa kashfa. Weka points zako nizione. Soma vizuri post ya kwanza iliyowekwa na aliyeanzisha Uzi, uelewe alikuwa analenga mambo gani, Kisha njoo tujadili mkuu.
 
Haahahaha mtumishi punguza jazba
muiba utokea ulipo ingilia sisi mafukara kweli haswa je nyiyi wakina miujiza hiyo miladi ya kanisa inawasaidia nn?au mnajifariji tu na kutoa matusi kututukana kwa mali za wachungaji wano nufaika huku nyiyi mkipauka kwa michango
 
wakirisito kweli mazo hospitali nyinyi je mnatibiwa bule? au unasifia mali za wachungaji wanao nufaika huku wewe ukiishia kuchangia tu!!!!!!!

We panzi kweli,hospital gani ya kanisa unaijua ni mali ya mchungaji???
 
Pentecostal wana hospital kubwa sana inaitwa Nkinga hospital, kwa upande wa magharibi Tanzania nandhani ndio hospital bora
haya wewe mvimba macho unaweza kwenda pale kutibiwa bule kisa ni mali ya kanisa?au unajivunia mali za watu?kazi yenu wizi tu wa madawa pale hiyo hosipitali ilikuwa bora miaka ya tisini na 5 7 wakati huo wauidini walikuwa bado wapo walipo ondoka tu wakaachiwa wakiristo weusi wenye roho mbaya na urafi nenda kaangalie uozo uliopo leo
 
unajikweza tu hizo mali unazo jisifia nazo sio zako ni za kanisa anazfaidi mchungaji tu na padiri tu wewe azikusaidii wala ndugu zako mbono tuko wete mitaani tuepauka nayi pia mmchoka kiamaisha tagu lini mali ya kanisha ikamsaidia mkiristo wa kawaida isiwe mchungaji au padiri?we kazi tako kuchangia tu huko ukifa masikini

Ndio mali ni za kanisa,na wala si zangu wala mchungaji.

Kama kuna mchungaji alikupanga ana hisa kwenye mradi wa kanisa,alikuwa anataka akupate tu kisha asepe.
 
Wanampinga utapeli wa makanisa hata kagame alifuta kwa sababu ya makanisa ili kubalance ndo akafungia misikitini ila point ilikuwa matapeli(makanisa)

Kagame hajafuta makanisa,kaweka utaratibu kila mchungaji akasome elimu ya dini theology.

na makanisa sio utapeli,we wenyewe elimu upepewa na shule za kanisa,ebu kaa utulie.
 
Kagame hajafuta makanisa,kaweka utaratibu kila mchungaji akasome elimu ya dini theology.

na makanisa sio utapeli,we wenyewe elimu upepewa na shule za kanisa,ebu kaa utulie.
Utapeli eti akasome mbona yamefungwa wengi walikuwa vilaza ,wanatumia ujinga wa waumini kuwadanganya ila kichwani zero
 
Back
Top Bottom