Turudi kwenye kikao cha chama kati ya Waheshimiwa mawaziri na Mh. Makonda ni nani anakaa viti vya mbele kuwahutubia wenziwe?

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Tulikua tunabishana hapa mtaani kuhusu mgawanyo wa madaraka ndani ya chama na serikali.

Mimi bado nilikua nimeshikiria kwamba viongozi wa chama wakiamua wanaweza kuwa na nguvu kuliko mawaziri, wakuu wa mikoa na wilaya.

Nimerudi hapa jukwaani nataka kupata majibu juu ya swali langu hili:

Turudi kwenye vikao vya chama kati ya Waheshimiwa mawaziri na Mh. Makonda ni nani anakaa viti vya mbele kuwahutubia wenziwe?
 
Hii sio rocket science mtoa hoja,center of power ipo Lumumba street, full stop,kuna kipindi fulani nchi hii tulikua na chairman wa ccm na president wa nchi, kulitokea mvurugano mkubwa ndio maana ccm wakaamua kuwa kofia mbili zitawaletea matatizo, wakaziunganisha ,elewa pale SA kuna 2 presidents hawakumaliza muda wao, baada ya kupoteza uongozi wa chama, chama ndicho kinachounda serikali, yes makonda ana uwezo wa kumwita PM pale Lumumba street,maana sera zinatungwa Lumumba street na sip magogoni
 
Kwani Mawaziri wote wanaingia kwenye hizo vikao vya Chama? Pia tueleze Makonda anaingia kama nani na hao mawaziri pia wanaingia kama nani...then tuanze kujadili
Hata mimi nina maswali kama hayahaya. Mbona unaniuliza tena mkuu
 
Sera za nini zinatungwa Lumumba?
 
Mkuu yaani mpaka tuelewane katika hii mada wakuu.
 
Haupo objective, wewe unaongelea hisia zako sasa. Swali ni kuwa mawaziri wote wanaingia kwenye vikao vyote vya chama? Na wakiingia wanaingia kama nani mawaziri au wanachama ? Na kama wakiingia kama wanachama ukiangalia structure wa CCM kipi ni kipi na nani ni nani?
 
Hapa kunahitajika ufafanuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…