Tusahau kuindoa CCM kupitia ballot box

Unaelewa hata maana ya akili kubwa?
Hakuna akili kubwa itumikayo Bali nguvu na mabavu.

Ndio maana ya kujiita chama dola
Sasa akili kubwa zenu zimefanya nini sasa. Mbona ujitapa kitu ambacho huna. Sasa mmeshindwaje kuwazuia hawa CCM ambao hawana akili?
 
Nimekuuliza huyo Mbowe kuwafukuza Mdee siyo ukatili?
 
Sasa kama wameweza kuwa madarakani kukuzidi wewe mwenye akilli. Maana yake huna mbinu za kuwazidi. Wewe endelea tu kuwa na akili hizo maana zinakutosha wewe pekee yako.
Hivi unaelewa Matumizi ya nguvu za majeshi?

Hivi tukio la Lisu kupigwa risasi ndio Matumizi ya akili?

Unazifahamu nguvu za chama Cha siasa?
Mtaji wa chama Cha siasa kina nani?

Kama chama hakina hizo sifa?
Basi ujue unatawaliwa na Wakoloni ila wenyewe ni weusi tu.
 
Unaelewa hata maana ya akili kubwa?
Hakuna akili kubwa itumikayo Bali nguvu na mabavu.

Ndio maana ya kujiita chama dola
Kama akili kubwa imeshindwa hata kujenga ofisi ya makao makuu kwa miaka 30, basi itakuwa akili kubwa ya kuku.
 
Kila nikiyaona haya majamaa napata hasira sana

Kuna kipindi yaliwah nifata yakaniomba niwe diwan

Kwa kweli kwangu mimi ni heri nife masikini ila sio kuwa kwenye hiki chama
 
Sasa akili kubwa zenu zimefanya nini sasa. Mbona ujitapa kitu ambacho huna. Sasa mmeshindwaje kuwazuia hawa CCM ambao hawana akili?
[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
 
Nimekuuliza huyo Mbowe kuwafukuza Mdee siyo ukatili?

..kina Mdee wakithibitisha kwamba walipitishwa na kamati kuu ya Cdm kuwa viti maalum, halafu Mbowe akawafukuza, itakuwa ni ukatili.
 
Je Mwenye akili na mwenye nguvu wakiwekwa kushindana kwenye siasa nani atashinda?
 
..kina Mdee wakithibitisha kwamba walipitishwa na kamati kuu ya Cdm kuwa viti maalum, halafu Mbowe akawafukuza, itakuwa ni ukatili.
Kwahiyo hujui kuwa Mdee na wenzake ni wabunge wa Mahakama?
 
Kama akili kubwa imeshindwa hata kujenga ofisi ya makao makuu kwa miaka 30, basi itakuwa akili kubwa ya kuku.
Tanu kilitumia miaka mingapi kujenga ofisi zake?

AA kilijenga ofisi zake lini?

TAA nao walitumia muda gani?

Hii ni hoja mfu na mufilisi.
 
tusubirie kudra za mungu au mungu aamue ugomvi
 
Je Mwenye akili na mwenye nguvu wakiwekwa kushindana kwenye siasa nani atashinda?
Si umeona?
Hivi Simba na Swala wakishindanishwa nani atashindwa?

Unadhani kwa nini alishindwa?
Mazingira ya siasa Tz hayako fair,
au unadhani yako fair?
 
Kwahiyo hujui kuwa Mdee na wenzake ni wabunge wa Mahakama?

..utaratibu ni kamati kuu ya Chadema kuteua viti maalum.

..it is very simple. Halima na wenzake waonyeshe kuwa kamati kuu ya Chadema iliketi na kuwateua.

..kinyume na hivyo, wao sio wabunge halali, na wanastahili kufukuzwa ktk chama.
 
Kifupi hawa wamejimaliza kwenye ulimwengu wa siasa.
Waamue kurudi CCM wakawe hakuna anaye wakumbuka au waende ACT rasmi kitambulike ni chama Cha wasaliti na wachumia tumbo.
 
Tanu kilitumia miaka mingapi kujenga ofisi zake?

AA kilijenga ofisi zake lini?

TAA nao walitumia muda gani?

Hii ni hoja mfu na mufilisi.
Umesema wanakili ndogo baadae unarudi unajilinganisha na wenye akili ndogo, nan anaakili ndogo hapo!?
 
Kifupi hawa wamejimaliza kwenye ulimwengu wa siasa.
Waamue kurudi CCM wakawe hakuna anaye wakumbuka au waende ACT rasmi kitambulike ni chama Cha wasaliti na wachumia tumbo.

..kama Samia atakuwa tayari kuwakingia kifua sawa.

..lakini nadhani sasa hivi Ccm hawana hamu na waunga mkono juhudi toka upinzani.

..Ccm wameamua kulinda nafasi za watu waliokipigania chama chao, na sio wahamiaji.
 
Umesema wanakili ndogo baadae unarudi unajilinganisha na wenye akili ndogo, nan anaakili ndogo hapo!?
Soma mada na mtililiko wake kabla hujakomenti.

Ila nikuulize unadhani kwa nini watu hutumia miaka 30 ya existence ya Chadema kuwa hawana ofisi?

Halafu muda huo huo hawataki kujua historia ya AA, TAA na TANU vilikotokea?

Kumbuka lazima ukumbuke Chadema imeanza kuwa na Wabunge lini?
Rudhuku wameanza kupata lini?
Je, muhimu kutaja vipaumbele vya nchi? au Chama?
 
Hapa kuna hoja ya msingi

Ndugu yako mpwayungu village ameanzisha uzi wenye mfanano na huu
 
..kama Samia atakuwa tayari kuwakingia kifua sawa.

..lakini nadhani sasa hivi Ccm hawana hamu na waunga mkono juhudi toka upinzani.

..Ccm wameamua kulinda nafasi za watu waliokipigania chama chao, na sio wahamiaji.
Na Mkuu
Nisichokipenda kingine kwa CCM ni hicho,
Bila mawazo mapya, watu wapya unadhani hiki chama kitaweza kutatua matatizo ya Watanganyika?

Kusema watu wale wale na vizazi vyao huoni wanatengeneza ufalme au kifupi Upper Class
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…