Tusahau kuindoa CCM kupitia ballot box

Tusahau kuindoa CCM kupitia ballot box

ZANU PF Bado kipo madarakani sijui unaongelea ZANU PF ipi. Au unahororoja tu?

Sio kwa vitisho vile, wakati Mugabe yuko madarakani aliamini Wazimbabwe wote ni maiti hai kama watanzania. Siku watu waliingia mtaani hakuamini macho yake.
 
CCM haina tabia ya kuwa na kiongozi mmoja. Mfano wako huo ni mfu.
CCM ni taasisi na siyo mtu mmoja.
CCM is a system. Ukielewa hicho huwezi kujichosha. Huwezi wewe na Mbowe mkapambana na System ya CCM mtaangukia pua.
 
Ukitegemea hilo basi tambua haita tokea abadan asilani.
Hii ni nchi ya makunguru tu[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Sasa mambo ya mwaka 1945 unayaleta leo 2022. Huu ni ushamba na upumbavu.

..kaka naomba usinitukane.

..mbona mimi nimekuwa mvumilivu kwa hoja zako, na nimekuheshimu?

..nimefanya ulinganisho kati ya Polisi wa Wakoloni vs Polisi wa Ccm.

..mimi nilitegemea Polisi wa Ccm watakuwa na utu, ubinadamu, na uadilifu, kuliko Polisi wa Mkoloni.

..Hivi inaswihi kweli nyinyi Ccm, ndugu zetu wa damu, mfanye ukatili kuliko Wakoloni?

..Yaani DC Muingereza awe na utu kuliko DC mzalendo wa Tanzania huru? Inaswihi kweli?
 
CCM haina tabia ya kuwa na kiongozi mmoja. Mfano wako huo ni mfu.
CCM ni taasisi na siyo mtu mmoja.
CCM is a system. Ukielewa hicho huwezi kujichosha. Huwezi wewe na Mbowe mkapambana na System ya CCM mtaangukia pua.

Ila ina tabia ya kuwa na makundi, subiri tu ndio utajua CCM sio chama cha kizazi hiki.
 
..kaka naomba usinitukane.

..mbona mimi nimekuwa mvumilivu kwa hoja zako, na nimekuheshimu?

..nimefanya ulinganisho kati ya Polisi wa Wakoloni vs Polisi wa Ccm.

..mimi nilitegemea Polisi wa Ccm watakuwa na utu, ubinadamu, na uadilifu, kuliko Polisi wa Mkoloni.

..Hivi inaswihi kweli nyinyi Ccm, ndugu zetu wa damu, mfanye ukatili kuliko Wakoloni?

..Yaani DC Muingereza awe na utu kuliko DC mzalendo wa Tanzania huru? Inaswihi kweli?
Tatizo unakimbilia kuimba umetukanwa. Unaweza kuniambia nimekutukana vipi?

1. Tulijikomboa kutoka kwenye makucha ya wavamizi kutoka ulaya ili tujitawale sisi weusi. Tulijitungia sheria na taratibu sisi wenyewe.

2. Hatukujikomboa ili tuishi kama wanyama waio na utaratibu. Tulijikomboa ili tutengeneze sheria zetu na taratibu zetu kama taifa huru.

3. Tukaweka katiba yetu na kuainisha HAKI na WAJIBU wa kila raia.

SASA WEWE UNATAKA TUISHI KAMA WANYAMA WASIO NA UTARATIBU. HICHO NI KUKOSA UELEWA WA KUFIKIRI.
 
Ila ina tabia ya kuwa na makundi, subiri tu ndio utajua CCM sio chama cha kizazi hiki.
Hizo imani zako endelea kuamini hivyo CCM inasonga mbele.
CCM ipo na utaratibu wa miaka 10. Kwa sasa Vision imeanzishwa leo ni ya miaka 10 mpaka 2032.
Halafu CCM inatabia ya kujisahihisha.
 
Hakuna Chama Bora zaidi ya CCM hapa barani Africa. Mpaka mwaka 3000 ndio mtapata akili
Kivipi mkuu?
Wakati wameshindwa kwenye kila kitu?
Uchumi hola
Miundombinu hola
Afya na ustawi wa jamii hola
Upangaji miji hola
Michezo hola

Huo ubora unapimwa kwa lipi[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Kujiimarisha au kuzidi kutegemea mbeleko ya vyombo vya dola? Hutaaamini macho yako.
Chama cha siasa chochote lengo lake ni kushika dola ili kiendelee kujiimarisha. Sasa unataka CCM isitumie dola ili CHADEMA ishinde. Huu utakuwa wendawazimu
 
Kivipi mkuu?
Wakati wameshindwa kwenye kila kitu?
Uchumi hola
Miundombinu hola
Afya na ustawi wa jamii hola
Upangaji miji hola
Michezo hola

Huo ubora unapimwa kwa lipi[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Taja chama chenye nguvu hapa Africa zaidi ya CCM.
 
Chama cha siasa chochote lengo lake ni kushika dola ili kiendelee kujiimarisha. Sasa unataka CCM isitumie dola ili CHADEMA ishinde. Huu utakuwa wendawazimu

Kwa mchezo wa kutegemea dola kukaa madarakani, iko Siku dola itaona kwanini isikae yenyewe badala ya kuifadisha CCM iliyopitwa na wakati?
 
Chama cha siasa chochote lengo lake ni kushika dola ili kiendelee kujiimarisha. Sasa unataka CCM isitumie dola ili CHADEMA ishinde. Huu utakuwa wendawazimu
Lengo ni kushika Dola hatukatai
Ila nini malengo baada ya kushika Dola?
Vipi ni vipaumbele vyao?

Kwa miaka 60 wamefanikiwa nini?
Maana hata uliokuwa mji wao mkuu ni hovyo hovyo tu.
 
Taja chama chenye nguvu hapa Africa zaidi ya CCM.
Nguvu?
Kwa maana ipi?
Uungwaji mkono na raia au kutumia mabavu , hila, fitna na majeshi kubaki madarakani[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Au kuendelea kuidunisha Tanganyika na Tanzania kwa ujumla bila kuja na mipango mkakati wa kuwakwamua raia?

Kuendelea kubakia na mamlaka kwa kila njia na kuwa mkoloni mweusi?
 
Tatizo unakimbilia kuimba umetukanwa. Unaweza kuniambia nimekutukana vipi?

1. Tulijikomboa kutoka kwenye makucha ya wavamizi kutoka ulaya ili tujitawale sisi weusi. Tulijitungia sheria na taratibu sisi wenyewe.

2. Hatukujikomboa ili tuishi kama wanyama waio na utaratibu. Tulijikomboa ili tutengeneze sheria zetu na taratibu zetu kama taifa huru.

3. Tukaweka katiba yetu na kuainisha HAKI na WAJIBU wa kila raia.

SASA WEWE UNATAKA TUISHI KAMA WANYAMA WASIO NA UTARATIBU. HICHO NI KUKOSA UELEWA WA KUFIKIRI.

..Je, tulijikomboa ili Tanu na baadae Ccm ije ifanye ukatili dhidi ya wengine?

..Ukatili wa Ccm dhidi ya wapinzani sio unyama?

..Kwanini sheria zinafanya kazi dhidi ya wapinzani tu, na hatuoni Ccm wakichukuliwa hatua kupitia sheria hizo?

..Hivi inaingia akilini sheria ya uchaguzi kwa miaka 30 imeengua maelfu ya wagombea wa upinzani, lakini haijawahi kuengua mgombea hata mmoja wa Ccm?!

..Kwa maoni yangu sheria hiyo ni ya kinyama, au wanaoitekeleza na kuisimamia wana tabia za kinyama.
 
Lengo ni kushika Dola hatukatai
Ila nini malengo baada ya kushika Dola?
Vipi ni vipaumbele vyao?

Kwa miaka 60 wamefanikiwa nini?
Maana hata uliokuwa mji wao mkuu ni hovyo hovyo tu.
Nenda kasome katiba ya CCM utapata majibu yako yote haya. Au unataka nikutafunie?
 
Back
Top Bottom