Lakini nchi sio mjini tu.Nope,, chama ndio kilishika hatamu, au umesahau,,
Kuna watu walipigania uhuru, wakaupata, wakatengeneza nchi, wakaiita Tanzania, na wakaunda serikali iliyokua chini ya chama,,
Sasa mzee we...
Na chama hakikuwa mijini peke yake, kilifika kila mahali kikichangiwa na kuwezeshwa na kila kaya hapa Tanzania.