Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,287
Mimi huwauliza kila siku,, hivi wanadhani hiyo katiba mpya wataandika wao peke yao au?,Unasahau kuwa katiba mpya wao ndio wamuuzi
Kama ccm hawataki katiba mpya then no katiba mpya itapatikana
Yaani hawa watu hawako focused kabisa, wana operate based on emotional peke yake,, na sasa hawajengi ofisi, wanasubiria kukamata madaraka mwaka 3000 wapore ofisi za ccm 🤷🏽♂️😂