Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walienguliwa kwa sababu walikiuka utaratibu
Wewe jamaa upo na matatizo kichwani mwako. Tafuta kujua mambo. Usione vyaelea vimeundwa...1965 mpaka 1995 Tanu / Ccm zilikuwa taasisi za serikali au umma.
..Ccm haipaswi kupora mali za umma.
Mkuu wacha porojo jikite kwenye hoja.Ukombozi wa kweli ni kwenda mbinguni. Duniani tupo na ukombozi wa kisiasa, kiutamaduni na kiuchumi.
Wewe jamaa upo na matatizo kichwani mwako. Tafuta kujua mambo. Usione vyaelea vimeundwa.
Chama hakiwezi kuwa mali ya serikali ni virse verse, chama ndio kilikuwa chenye serikali,, kwa maana hiyo basi, serikali ndo inapaswa kukipa chama mali zake😂🙆♀️,..1965 mpaka 1995 Tanu / Ccm zilikuwa taasisi za serikali au umma.
..Ccm haipaswi kupora mali za umma.
Hakuna sehemu niliyokutukana...usinitukane.
..jibu hoja zangu.
..Tanu / Ccm zilikuwa taasisi za SERIKALI / UMMA kati ya 1965 na 1992 kwasababu tulipitisha sheria ya mfumo wa CHAMA KIMOJA.
..Kila mahali / maeneo ya kazi kulikuwa na mashina na matawi ya Ccm. Kwa mfano, kila branch ya benki wakati huo NBC ilikuwa ni tawi la Ccm pia.
..Kila ilipo kituo au ofisi ya shirika la umma, au kiwanda, kwa mfano, Tanesco, Tdpc, Urafiki, Nmc, palikuwa na tawi la Ccm.
..Kila kambi la jeshi lilikuwa ni tawi la Ccm, na mkuu wa Kikosi alikuwa ndiye mwenyekiti wa tawi hilo.
..Kwa msingi huo Ccm ilikuwa ni taasisi ya SERIKALI / UMMA na vivyo hivyo mali zake kwa mfano majengo, viwanja vya michezo, magari, etc.
..Mfumo wa vyama vingi ulipoanzishwa Ccm ilipora na kujimilikisha mali za umma.
..tuache kejeli na mizaha.Chama hakiwezi kuwa mali ya serikali ni virse verse, chama ndio kilikuwa chenye serikali,, kwa maana hiyo basi, serikali ndo inapaswa kukipa chama mali zake😂🙆♀️,
Haiwezekani watu watafute uhuru, waanzishe nchi na kuiendesha, halafu miaka 40 mbele, aje mtu kutoka uswekeni akiwa na mfuko wa rambo, eti aanze kudai kaporwa mali yake,, huo ni utapeli, mzee wangu😄
Hakuna sehemu niliyokutukana.
Nimekuambia kuwa unamatatizo kichwani.
Ofisi, viwanja na mali za chama zilitokana na michango ya wanachama wa CCM. Sasa unataka mali za michango ya wanachama wa CCM wanyang'anywe, kwa sheria ipi!?
Hapa hakukuwa na uchaguzi katu! Walishapanga hiyo safu na namba zikawejwa kama kawaida ya CCM walevi na Wezi wa madaraka.Unjani sabuwona
Kwa hali niliyoiona jana pale Dodoma kamwe ccm haiwezi kutokana madaraka kwa kutumia ballot box hawa watu wamejipanga kweli kweli kila kitu ni Chao.
Hapa nielewe sijamaanisha itumike violence hapana let make sure that katiba mpya inapatikana soon as possible ili mambo yasiaribike .
Kila kitu kipo kwao polisi ni wao, mahakamani ni wao, timu za mpira wa miguu ni wao and each and everything ni wao this is too much wakuu.
CCM wamehodhi kila kitu mambo yote ni wao vijana wengi vyuoni katika vijana kumi 8 ni ccm mmoja hana chama na mmoja ni upinzani CHADEMA au Act.
Wapinzani mtoke humu mitandaoni sio kupiga kelele mitandaoni fikiria mwananchi wa chini kabisa huko maganzo au nanjilinji ndani ndani huko haijui twitter wala jamiiForum yeye au wao hauwezi kuwaambia chochote kuhusu ccm, ccm ni wao na wo ni ccm.
Nchi haiongozwi kwa kutumia space au club house tu tujitokeze barabarani kutaka katiba mpya.
Join with me kwa maandamano ya amani mpaka ikulu siku ya jumamosi kushinikizwa kwa katiba mpya. Maandamano yataanzia posta kwenye mnara wa askari mpaka magogoni ikulu. Kula, kunywa na matibabu ni juu yangu.
Shalom.
Ndiyo maana ninakuambia, usione vyaelea vimeundwa...tuache kejeli na mizaha.
..Uhuru ulitafutwa na Watanganyika wote.
..Na nchi iliendeshwa na Watanganyika na baadae Watanzania wote.
..Hata vita vya Kagera, na vita vya ukombozi, vilipiganwa na Watanzania wote.
..Mali za umma zilizoporwa na Ccm ziko nchi nzima. Ziko mpaka huko unakoita "uswekeni."
..Mali hizo zinapaswa zirudishwe na kumilikiwa na Watanzania wote, sio wana-Ccm peke yao.
..Tujadili haya mambo kwa kuzingatia haki na uadilifu.
Umeulizwa sheria ipi iliyowataka watanzania kuchangia michango hiyo!?..nimekueleza kwamba chama kilikuwa mali ya serikali na kikichangiwa na Watanzania wote KWA MUJIBU WA SHERIA.
..hakukuwa na choice au ridhaa kwamba ujiunge na chama, uchangie chama, au ushiriki shughuli za chama. Ilikuwa ni lazima kwa mujibu wa sheria.
Unjani sabuwona
Kwa hali niliyoiona jana pale Dodoma kamwe ccm haiwezi kutokana madaraka kwa kutumia ballot box hawa watu wamejipanga kweli kweli kila kitu ni Chao.
Hapa nielewe sijamaanisha itumike violence hapana let make sure that katiba mpya inapatikana soon as possible ili mambo yasiaribike .
Kila kitu kipo kwao polisi ni wao, mahakamani ni wao, timu za mpira wa miguu ni wao and each and everything ni wao this is too much wakuu.
CCM wamehodhi kila kitu mambo yote ni wao vijana wengi vyuoni katika vijana kumi 8 ni ccm mmoja hana chama na mmoja ni upinzani CHADEMA au Act.
Wapinzani mtoke humu mitandaoni sio kupiga kelele mitandaoni fikiria mwananchi wa chini kabisa huko maganzo au nanjilinji ndani ndani huko haijui twitter wala jamiiForum yeye au wao hauwezi kuwaambia chochote kuhusu ccm, ccm ni wao na wo ni ccm.
Nchi haiongozwi kwa kutumia space au club house tu tujitokeze barabarani kutaka katiba mpya.
Join with me kwa maandamano ya amani mpaka ikulu siku ya jumamosi kushinikizwa kwa katiba mpya. Maandamano yataanzia posta kwenye mnara wa askari mpaka magogoni ikulu. Kula, kunywa na matibabu ni juu yangu.
Shalom.
Hii ndo shida ya upinzani, too emotional, 🤷♂️yaani hawako strategically,, hivi mfano tuhuma hizi ukiambiwa udhibitishe unaweza,, hiyo michango ni ipi, mbona sisi wa mwaka 47 na hatuikumbuki?,, Weka screenshot hapo tuone,,..tuache kejeli na mizaha.