Tusahau kuindoa CCM kupitia ballot box

Tusahau kuindoa CCM kupitia ballot box

Ccm imejiandaa 2025-2030 kuendelea kuongoza na ndivyo itakavyokuwa sababu hakuna mbadala na hakuna namna nyingine iliyo na ubora kuzidi ccm.

Mfano chawa wote wa upinzani wanapromote hoja "Chama cha mambuzi" ambayo 2025 haina msaada wowote katika kuchukua nchi.
 
..ilianzishwa 1954 tukapata uhuru 1961. Kwa hiyo ni miaka 7.

..kinachonishangaza ni Muingereza kuwa na utu kuliko hawa Watanzania wenzetu wa Ccm.

..kwa mfano, kulifanyika uchaguzi mwaka 1958 na Muingereza hakuengua mgombea hata mmoja wa Tanu.

..Sasa fast forward mpaka uchaguzi wa 2019 na 2020 ambako Tume ya Uchaguzi chini ya Ccm iliengua maelfu ya wagombea wa upinzani.

..Je, ni lazima uwe Ccm li utendewe haki na uwe huru hapa Tanzania?

..Mazingira hayo ndio yanayonifanya nisionee fahari Uhuru na nchi yetu.
2019 upunzani ulisusia uchaguzi. That was a biggest L to them and W to CCM.
 
Kwa sheria namba ngapi boss? 😲

..mimi sio mtaalamu wa sheria.

..lakini kati ya 1965 na 1992 Watanzania wote tulikuwa tunaichangia na kuihudumia Ccm.

..Kwa hiyo mali zote ikiwemo majengo, magari, mitambo, zilizopatikana kipindi hicho zilipaswa kurejeshwa SERIKALINI.
 
Bado hujanijibu. Maana mara ya mwisho niliangalia na kuona Makao makuu ya CHADEMA yapo katika nyumba mbovu ya kupanga. Je, ni halali Chama hicho chenye miaka 30 kukosa ofisi ya makao makuu?

Umesema wanajenga. Sasa nauliza ni lini walijenga makao makuu!?
Hichi ndicho chama kikuu cha upinzani, na uhalisia ni kuwa kinajiandaa kuongeza idadi ya wabunge na sio kuchukua nchi.
 
..Chadema inazo ofisi za makao makuu hapa Dsm.

..Pia Chadema inazo ofisi ktk maeneo mbalimbali hapa Tanzania.

..Sasa na mimi naomba unijibu swali langu.

Je majengo ya Tanu / Ccm yaliyojengwa kati ya 1965 na 1992 kipindi tulipokuwa na mfumo wa chama kimoja hayapaswi kurejeshwa serikalini?
Hili la mali za Tanu ccm ina lakujibu. Na ikifahamika kuwa ccm hawana umiliki halali basi huo uchukuliwe kama wizi na chama kifutwe
 
..mimi sio mtaalamu wa sheria.

..lakini kati ya 1965 na 1992 Watanzania wote tulikuwa tunaichangia na kuihudumia Ccm.

..Kwa hiyo mali zote ikiwemo majengo, magari, mitambo, zilizopatikana kipindi hicho zilipaswa kurejeshwa SERIKALINI.
Tafuta mwanasheria akufafanulie.
 
2019 upunzani ulisusia uchaguzi. That was a biggest L to them and W to CCM.

..maelfu ya wagombea wa upinzani walienguliwa na Tume au Wakurugenzi wa Ccm.

..mbona MKOLONI hakuengua wagombea wa Tanu?

..mbona MKOLONI hakupiga na kujeruhi viongozi wa Tanu?
 
..maelfu ya wagombea wa upinzani walienguliwa na Tume au Wakurugenzi wa Ccm.

..mbona MKOLONI hakuengua wagombea wa Tanu?

..mbona MKOLONI hakupiga na kujeruhi viongozi wa Tanu?
Maelezo yalitolewa kwanini walienguliwa. Je, mko tayari kubadilika na kuwafundisha wagombea wenu!?
 
..mimi sio mtaalamu wa sheria.

..lakini kati ya 1965 na 1992 Watanzania wote tulikuwa tunaichangia na kuihudumia Ccm.

..Kwa hiyo mali zote ikiwemo majengo, magari, mitambo, zilizopatikana kipindi hicho zilipaswa kurejeshwa SERIKALINI.
Sasa sheria gani imeanisha ofisi ya Tanu itaifishwe?,, Una risiti za michango mzee wangu? 😕
 
..maelfu ya wagombea wa upinzani walienguliwa na Tume au Wakurugenzi wa Ccm.

..mbona MKOLONI hakuengua wagombea wa Tanu?

..mbona MKOLONI hakupiga na kujeruhi viongozi wa Tanu?
Chadema ilitangaza kutokushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa.. hicho ndo nachokumbuka.. ikifanya hivo tena 2024.. uchaguzi wa 2025 wakishindwa wasisingizie kuibiwa kura.
 
Hili la mali za Tanu ccm ina lakujibu. Na ikifahamika kuwa ccm hawana umiliki halali basi huo uchukuliwe kama wizi na chama kifutwe

..Ni mali nyingi sana Ccm imepora.

..Majengo, viwanja vya michezo, nchi nzima.

..kulikuwa na maelfu ya magari na mitambo mbalimbali.

..vyote hivyo ni mali ya UMMA lakini Ccm imezipora.
 
..Ni mali nyingi sana Ccm imepora.

..Majengo, viwanja vya michezo, nchi nzima.

..kulikuwa na maelfu ya magari na mitambo mbalimbali.

..vyote hivyo ni mali ya UMMA lakini Ccm imezipora.
Wewe umesema siyo mwanasheria vipi tena!?
 
Chadema ilitangaza kutokushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa.. hicho ndo nachokumbuka.. ikifanya hivo tena 2024.. uchaguzi wa 2025 wakishindwa wasisingizie kuibiwa kura.

..maelfu ya wagombea wa Cdm walienguliwa na makada wa Ccm wanaosimamia uchaguzi.

..kutokana na mgogoro huo ndio Cdm wakaamua wasishiriki uchaguzi wote.

..katika mpira wa miguu Refa akiwapa wachezaji wako 6 kadi nyekundu inaleta mantiki kuendelea na mechi na wachezaji 5?
 
Walienguliwa kwa sababu walikiuka utaratibu
 
CCM ni chama kikubwa, lakini kubwa jinga, na kiko hadi leo madarakani kwa uoga wa wananchi.
CCM itaendelea kuwa madarakani sababu hakuna mbadala ulio bora kuzidi CCM kwa sasa. Siku mbadala utakapopatikana wananchi wataupa nafasi.

Kwa sasa hakuna mbadala wa kuwashawishi raia waikatae CCM hata kwa mfumo wa machafuko unaoupedekeza kila wakati maana tamaa yako ipo wazi.
 
Back
Top Bottom