ASIWAJU
JF-Expert Member
- Nov 18, 2022
- 1,938
- 1,632
Una jenga swali huku ukijijengea majibu yako kichwani, swali lako mwanzo halikusema hivi Kama ambavyo unasema sasa. Jihadhari na tabia ya ukinyonga kubadilika badilika.UKOMBOZI WA NCHI UPO KATIKA MAKUNDI MATATU:-
1. Ukombozi wa Kisiasa
2. Ukombozi wa Kiuchumi
3. Ukombozi wa Kiutamaduni.
Sasa tunapoongelea nchi siyo sawa na unapoongelea familia yako mzee
Ndiyo maana ninakuuliza katika hayo matatu unataka ukombozi gani!?