Tusahau kuindoa CCM kupitia ballot box

Bora kutokupoteza muda kpig kura

Ova
 
Tanzania ilishakombolewa tangu 1961. Ukombozi gani unautaka tena!?
Waliopata uhuru 1961 ni Nyerere na genge lake siyo Tanzania. Ndiyo maana maamuzi makubwa ya nchi waliyafanya wao bila kuhusisha wananchi. Katiba kaandika Nyerere, Muungano kauleta Nyerere, kupiga marufuku vyama vingi kataka Nyerere, mfumo wa Ujamaa kautaka Nyerere, kupigwa marufuku vyombo vya habari vya binafsi, yote yalifanywa bila wananchi kupiga kura.
 
Ha ha ha mlamba asali naona ulivyo busy kutetea tumbo lako

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Baba yako alikuwa na umri gani wakati wa uhuru!?
 
Wapinzani mtoke humu mitandaoni sio kupiga kelele mitandaoni fikiria mwananchi wa chini kabisa huko maganzo au nanjilinji ndani ndani huko haijui twitter wala jamiiForum yeye au wao hauwezi kuwaambia chochote kuhusu ccm, ccm ni wao na wo ni ccm.
Acha uongo 2020 asingeua watu ili ashinde
 
CCM ina miaka 100 mbele
99% ni darasa la saba na form 4 kama johnthebaptist, wewe uliyosoma Highlands, by the way, those who go and pursue education at the Highlands are standard 7 failure, so it to say you technically std 7.

CCM wale wanaofaidi siyo nyie, ni wale 0.5% ambao walishaujua ujinga wenu na kuutumia.

I bet you don’t even make $1k a month
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…