Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama Mungu aishivyo, Chama Cha Mambuzi hakina miaka 10 ya uhai mbeleCCM ina miaka 100 mbele
Waliopata uhuru 1961 ni Nyerere na genge lake siyo Tanzania. Ndiyo maana maamuzi makubwa ya nchi waliyafanya wao bila kuhusisha wananchi. Katiba kaandika Nyerere, Muungano kauleta Nyerere, kupiga marufuku vyama vingi kataka Nyerere, mfumo wa Ujamaa kautaka Nyerere, kupigwa marufuku vyombo vya habari vya binafsi, yote yalifanywa bila wananchi kupiga kura.Tanzania ilishakombolewa tangu 1961. Ukombozi gani unautaka tena!?
Ha ha ha mlamba asali naona ulivyo busy kutetea tumbo lakoTatizo unakimbilia kuimba umetukanwa. Unaweza kuniambia nimekutukana vipi?
1. Tulijikomboa kutoka kwenye makucha ya wavamizi kutoka ulaya ili tujitawale sisi weusi. Tulijitungia sheria na taratibu sisi wenyewe.
2. Hatukujikomboa ili tuishi kama wanyama waio na utaratibu. Tulijikomboa ili tutengeneze sheria zetu na taratibu zetu kama taifa huru.
3. Tukaweka katiba yetu na kuainisha HAKI na WAJIBU wa kila raia.
SASA WEWE UNATAKA TUISHI KAMA WANYAMA WASIO NA UTARATIBU. HICHO NI KUKOSA UELEWA WA KUFIKIRI.
Baba yako alikuwa na umri gani wakati wa uhuru!?Waliopata uhuru 1961 ni Nyerere na genge lake siyo Tanzania. Ndiyo maana maamuzi makubwa ya nchi waliyafanya wao bila kuhusisha wananchi. Katiba kaandika Nyerere, Muungano kauleta Nyerere, kupiga marufuku vyama vingi kataka Nyerere, mfumo wa Ujamaa kautaka Nyerere, kupigwa marufuku vyombo vya habari vya binafsi, yote yalifanywa bila wananchi kupiga kura.
Acha uongo 2020 asingeua watu ili ashindeWapinzani mtoke humu mitandaoni sio kupiga kelele mitandaoni fikiria mwananchi wa chini kabisa huko maganzo au nanjilinji ndani ndani huko haijui twitter wala jamiiForum yeye au wao hauwezi kuwaambia chochote kuhusu ccm, ccm ni wao na wo ni ccm.
Ukiuliza swali la msingi nitakujibuBaba yako alikuwa na umri gani wakati wa uhuru!?
99% ni darasa la saba na form 4 kama johnthebaptist, wewe uliyosoma Highlands, by the way, those who go and pursue education at the Highlands are standard 7 failure, so it to say you technically std 7.CCM ina miaka 100 mbele