Tusahau kuindoa CCM kupitia ballot box

Nyie mnapiga porojo bure Wananchi wenyewe bado hawajawa na ufahamu wa kutosha. Nchi bado ina matatizo kibao chini ya CCM lakini huoni watu wakijali kila mtu na maisha yake jamii ya kipumbavu kabisa. Bongo lala, Bongo balaa.
 
Zingatia nilicho kujibu mwanzo kwa hili swali lako, huwa sipendi majibizano yasiyo na maana hiyo ndiyo desturi yangu.
Wewe usijifanye kichwa ngumu. Sasa unataka kuongoza wananchi kichwa chako kigumu kiasi hiki utaweza kweli!?

UKOMBOZI WA NCHI UPO KATIKA MAKUNDI MATATU:-

1. Ukombozi wa Kisiasa
2. Ukombozi wa Kiuchumi
3. Ukombozi wa Kiutamaduni.

Sasa tunapoongelea nchi siyo sawa na unapoongelea familia yako mzee

Ndiyo maana ninakuuliza katika hayo matatu unataka ukombozi gani!?
 
Sasa tunarudi kwetu hapa. CHADEMA ilianzishwa 1992 mpaka leo 2022 ni miaka 30 hawana ofisi. Je, hizi ndizo siasa za kutaka kuongoza nchi!?

..Majengo na maofisi ya Tanu / Ccm tangu tulipofuta vyama vingi 1965 mpaka 1992 ni mali ya Ccm au Watanzania wote?
 
Wewe usijifanye kichwa ngumu. Sasa unataka kuongoza wananchi kichwa chako kigumu kiasi hiki utaweza kweli!?
Naona umeanza kunitafsiri katika njia yako inayo kufurahisha, nani amekuambia mimi nataka kuongoza wananchi ?

Nili kuambia mazungumzo yako yanapaswa kuzingatia muktadha wa eneo husika hapa tuna zungumzia mimi kuongoza wananchi ?

Jitahidi kufikiri kila Jambo kabla ya kuandika.
 
Sasa mwana hasira ya nini tena!?

UKOMBOZI WA NCHI UPO KATIKA MAKUNDI MATATU:-

1. Ukombozi wa Kisiasa
2. Ukombozi wa Kiuchumi
3. Ukombozi wa Kiutamaduni.

Sasa tunapoongelea nchi siyo sawa na unapoongelea familia yako mzee

Ndiyo maana ninakuuliza katika hayo matatu unataka ukombozi gani!?
 
Mbona hujibu swali mwanangu. Je, ni halali kwa CHADEMA yenye umri wa miaka 30 kukosa ofisi ya makao makuu!?

..Chadema inazo ofisi za makao makuu hapa Dsm.

..Pia Chadema inazo ofisi ktk maeneo mbalimbali hapa Tanzania.

..Sasa na mimi naomba unijibu swali langu.

Je majengo ya Tanu / Ccm yaliyojengwa kati ya 1965 na 1992 kipindi tulipokuwa na mfumo wa chama kimoja hayapaswi kurejeshwa serikalini?
 
Nitajie ofisi zilijengwa lini!?
 
Kwa sheria namba ngapi boss? 😲
 
Kifo cha ccm ni ccm yenyewe. Ccm uhai wake ni chini ya miaka 10.
 
Nitajie ofisi zilijengwa lini!?

..Chadema wanajenga ofisi kila mahali kwa nyakati mbalimbali kulingana na vipaumbele na malengo yao.

Naomba unijibu swali langu.

..Majengo ya Tanu / Ccm kati ya 1965 na 1992 wakati wa mfumo wa chama kimoja ni mali ya Watanzania wote au Ccm peke yao?
 
Mtoa mada mbona unateseka sana!? Kwani wamekukataza na wewe kuwa CCM!? Jiunge na Chama kisha hayo mapendekezo utayafanya ukiwa ndani.
 
Wapinzani hata wakitoka mitandaoni wakienda field, bado wanakutana na rungu la kuzuia mikutano ya hadhara, CCM wamehodhi kila kitu mpaka mawazo na matendo yetu.
Si mlisema magufuli ndo alizuia na mkashangilia alivokufa? Bado kazuia yeye?
 
Mleta mada alipodokeza hadi matibabu atashughulikia!!! Nikaona kama simu imeisha chaji.
 
Hapa nielewe sijamaanisha itumike violence hapana let make sure that katiba mpya inapatikana soon as possible ili mambo yasiaribike .
[emoji1752][emoji1545]
Kila siku lets make sure katiba inapatikana.. no action taken.. walioanzisha hii agenda wametulia machame na ufipa
 
Bado hujanijibu. Maana mara ya mwisho niliangalia na kuona Makao makuu ya CHADEMA yapo katika nyumba mbovu ya kupanga. Je, ni halali Chama hicho chenye miaka 30 kukosa ofisi ya makao makuu?

Umesema wanajenga. Sasa nauliza ni lini walijenga makao makuu!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…