Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe usijifanye kichwa ngumu. Sasa unataka kuongoza wananchi kichwa chako kigumu kiasi hiki utaweza kweli!?Zingatia nilicho kujibu mwanzo kwa hili swali lako, huwa sipendi majibizano yasiyo na maana hiyo ndiyo desturi yangu.
Sasa tunarudi kwetu hapa. CHADEMA ilianzishwa 1992 mpaka leo 2022 ni miaka 30 hawana ofisi. Je, hizi ndizo siasa za kutaka kuongoza nchi!?
Huko hakukuwa na chama imara kama CCM.Huko Zimbabwe, Sudan nk watu walipoandamana hakukuwa na vyombo vya dola? Ngoja machafuko yatokee ndio ukatafute kazi ya halali na sio hii ya kujipendekeza kwa viongozi majuzi ya kura ili upate mlo.
Mbona hujibu swali mwanangu. Je, ni halali kwa CHADEMA yenye umri wa miaka 30 kukosa ofisi ya makao makuu!?..Majengo na maofisi ya Tanu / Ccm tangu tulipofuta vyama vingi 1965 mpaka 1992 ni mali ya Ccm au Watanzania wote?
Naona umeanza kunitafsiri katika njia yako inayo kufurahisha, nani amekuambia mimi nataka kuongoza wananchi ?Wewe usijifanye kichwa ngumu. Sasa unataka kuongoza wananchi kichwa chako kigumu kiasi hiki utaweza kweli!?
Sasa mwana hasira ya nini tena!?Naona umeanza kunitafsiri katika njia yako inayo kufurahisha, nani amekuambia mimi nataka kuongoza wananchi ?
Nili kuambia mazungumzo yako yanapaswa kuzingatia muktadha wa eneo husika hapa tuna zungumzia mimi kuongoza wananchi ?
Jitahidi kufikiri kila Jambo kabla ya kuandika.
Ok, but arent we moving in that direction? 🤔Nchi kutoka katika taifa masikini [ nchi dunia ya tatu ] kwenda nchi dunia ya kwanza.
Mbona hujibu swali mwanangu. Je, ni halali kwa CHADEMA yenye umri wa miaka 30 kukosa ofisi ya makao makuu!?
Nitajie ofisi zilijengwa lini!?..Chadema inazo ofisi za makao makuu hapa Dsm.
..Pia Chadema inazo ofisi ktk maeneo mbalimbali hapa Tanzania.
..Sasa na mimi naomba unijibu swali langu.
Je majengo ya Tanu / Ccm yaliyojengwa kati ya 1965 na 1992 kipindi tulipokuwa na mfumo wa chama kimoja hayapaswi kurejeshwa serikalini?
Kwa sheria namba ngapi boss? 😲..Chadema inazo ofisi za makao makuu hapa Dsm.
..Pia Chadema inazo ofisi ktk maeneo mbalimbali hapa Tanzania.
..Sasa na mimi naomba unijibu swali langu.
Je majengo ya Tanu / Ccm yaliyojengwa kati ya 1965 na 1992 kipindi tulipokuwa na mfumo wa chama kimoja hayapaswi kurejeshwa serikalini?
Kifo cha ccm ni ccm yenyewe. Ccm uhai wake ni chini ya miaka 10.Unjani sabuwona
Kwa hali niliyoiona jana pale Dodoma kamwe ccm haiwezi kutokana madaraka kwa kutumia ballot box hawa watu wamejipanga kweli kweli kila kitu ni Chao.
Hapa nielewe sijamaanisha itumike violence hapana let make sure that katiba mpya inapatikana soon as possible ili mambo yasiaribike .
Kila kitu kipo kwao polisi ni wao, mahakamani ni wao, timu za mpira wa miguu ni wao and each and everything ni wao this is too much wakuu.
CCM wamehodhi kila kitu mambo yote ni wao vijana wengi vyuoni katika vijana kumi 8 ni ccm mmoja hana chama na mmoja ni upinzani CHADEMA au Act.
Wapinzani mtoke humu mitandaoni sio kupiga kelele mitandaoni fikiria mwananchi wa chini kabisa huko maganzo au nanjilinji ndani ndani huko haijui twitter wala jamiiForum yeye au wao hauwezi kuwaambia chochote kuhusu ccm, ccm ni wao na wo ni ccm.
Nchi haiongozwi kwa kutumia space au club house tu tujitokeze barabarani kutaka katiba mpya.
Join with me kwa maandamano ya amani mpaka ikulu siku ya jumamosi kushinikizwa kwa katiba mpya. Maandamano yataanzia posta kwenye mnara wa askari mpaka magogoni ikulu. Kula, kunywa na matibabu ni juu yangu.
Shalom.
Nitajie ofisi zilijengwa lini!?
Haya ni mawazo ya usiku wa manane.Kifo cha ccm ni ccm yenyewe. Ccm uhai wake ni chini ya miaka 10.
Si mlisema magufuli ndo alizuia na mkashangilia alivokufa? Bado kazuia yeye?Wapinzani hata wakitoka mitandaoni wakienda field, bado wanakutana na rungu la kuzuia mikutano ya hadhara, CCM wamehodhi kila kitu mpaka mawazo na matendo yetu.
Kila siku lets make sure katiba inapatikana.. no action taken.. walioanzisha hii agenda wametulia machame na ufipaHapa nielewe sijamaanisha itumike violence hapana let make sure that katiba mpya inapatikana soon as possible ili mambo yasiaribike .
[emoji1752][emoji1545]
Hatari sana
Bado hujanijibu. Maana mara ya mwisho niliangalia na kuona Makao makuu ya CHADEMA yapo katika nyumba mbovu ya kupanga. Je, ni halali Chama hicho chenye miaka 30 kukosa ofisi ya makao makuu?..Chadema wanajenga ofisi kila mahali kwa nyakati mbalimbali kulingana na vipaumbele na malengo yao.
Naomba unijibu swali langu.
..Majengo ya Tanu / Ccm kati ya 1965 na 1992 wakati wa mfumo wa chama kimoja ni mali ya Watanzania wote au Ccm peke yao?