Wahenga walisema ukweli huwa una tabia ya kuchelewa lkn siku ukifika huwa uwongo unakimbia kama giza kwenye mwanga.
Waathirika wa kusingiziwa kuwa ni wasaliti ndani ya chadema hatimaye leo wameibuka kidedea na kinara wa kuchafua wenzake ameonekana.
Zitto, Prof. Kitila, Dr. Slaa, Msigwa, mzee Sumaye, Mwambe, n.k tunaomba radhi kwa kushangilia tusichokijua.
Kumbe chadema ni mali ya mtu na wala siyo taasisi kama inavyojinadi. Huyo mtu ndiye mtoa maamuzi, ndiye mtoa hela, ndiye mpitisha wagombea na ana kiburi balaa
Kwa heri ya kuonana Chadema!