Hongera kwake 😂😂😂Lucas mwashambwa kachukua points zote 3
Yaani kabeba zote!Lucas mwashambwa kachukua points zote 3
Kumbe Mbowe na chawa wake walikuwa wanamuonea gere Magufuli kilindi kile bana 🤣🤣🤣.Hongera kwake 😂😂😂
Chadema ni mradi kama miradi yake mingineMbowe ana uchu wa madaraka
Kijana mzalendo anayeipenda nchi yake. Mama kamfikiaLucas mwashambwa kachukua points zote 3
Comrade Lucas Mwashambwa machozi ya furaha yamenibubujika kuona sifa zako leo. Kwa mara ya kwanza hujatukanwa na kukashifiwa.Lucas mwashambwa kachukua points zote 3
Ndiyo maana nimeamua kusema "Chadema kwendraaa!!"Niliwaambieni chadema ni wapumbavu na mbowe ni muhuni mkaniona mpuuzi ....chadema ni saccos ya mbowe ....pia ni ngumu mbowe kuachia kiti kwa sababu kuna damu nyuma yake ni kama samia tu ....samia na mbowe wanajaribu kuvuta wakati ....
chawa kapata chawa,...ni lazima abubujikwe na machozi ya furaha huko aliko,...😂😂Comrade Lucas Mwashambwa machozi ya furaha yamenibubujika kuona sifa zako leo. Kwa mara ya kwanza hujatukanwa na kukashifiwa.
SAwa bi rose mukyateam Lissu wamepigwa na kitu kizito chenye ncha kali cha kichwa