Pre GE2025 Tuseme bila unafiki: Kikwete ni tatizo kwa sasa nchini kuliko wakati wowote

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Nyie wote mnaomponda kikwete hatakuja kutokea raisi alie wajari watanzania km kikwete, sema tu hakua mpenda sifa na mambo ya show off, akija kugombea uraisi nampgia kura
 
Huyu mzee ndiye yuko nyuma ya uhuni wote unaofanyika
Rais aliyepo madarakani hawezi kuendelea kuwa loyal kwa Rais aliyepo benchi kwa zaidi ya ule mwaka wa mwanzo tu, hata kama alisaidiwa kuwa hapo.

Madaraka ya Rais ni makubwa mno.
Madaraka haya huwa yanafikia hatua yananoga na hawezi kumuhofia yeyote kwa sababu yeyote...

Sifa zote kwny nchii ni zako.
Hata kama hazina uhusika wako..
Na ole wake asiyekusifia ndani ya Serikali, bungeni au hata sekta binafsi.
Yanga amesajiri vizuri, sifa zinaanza na wewe.

Hata Kikwete hakuwa loyal kwa Mkapa..na hata Magufuli hakuwa loyal kwa Kikwete, na hata JPM alikuwa loyal kwa mkapa ule mwaka wa mwanzo tu..

Kikwete mwenyewe alikuwa anaongea anatetemeka kwny mkutano mkuu alipopewa kipaza sauti
 
Kuna watu wake humu ukimgusa tu yeye na samia utaoga matusi. Wao wanaona kikwete ndo kwao ana akili.
Wavaa kobazi wengi pamoja na machawa ambao walikuwa ni wahanga wa awamu iliyopita huwaambii kitu kwa hao watu wawili kikwete na samia...!!

Anyway binafsi huwa naona ni watumbavu waliozoea kuishi kwenye utawala dhaifu uliogubikwa na ufisadi uliokithiri ndio wanahemkwa sana kila ukiwaongelea hao madalali wawili.

Mimi tangu kipindi kile Dk.Slaa expose sakata la Ridhiwani kukamatwa China na madawa ya kulevya na kisha Kikwete kuwakabidhi gesi wachina hili kuokoa uhai wa mtoto wake... nilimuona huyu mzee wa ovyo sana na cancer kwenye taifa hili.

Hawa wapiga dili Acha waendelee kumpenda tu maana wanafanana nae kiitikadi.
 
Huyo jamaa anongelea ufisadi wa 1.5trilion wa miaka hiyo na wakati hivi juzi tu hapa kuna taarifa imetoka ikionesha ufisadi wa 1.7trillion uliofanywa na Mwigulu Nchemba kwenye ujezi wa SGR mind you hiyo ni kwenye SGR tu huku kwingine hatujui itakuwaje.

Halafu kwanza kutetea ufisadi kwa kuutaja ufisadi ambao umewahi kufanywa na mtu mwingine ni upumbavu, huko ni kuhalalisha ufisadi
 

lkn aliyemwaga shule tanzagiza nzima kila kata ni B.Mkapa au ni kazi ya Mkapa atleast, hiyo ilikuwa kazi yake tena baada ya Tanzania ya wakati huo kuqualify paris club na kusamehewa madeni, fedha ikaenda kujenga shule nchi nzima, hivyo kama ni sifa ya kusoma na shule nchi nzima ni kazi ya B.Mkapa, raisi kikwete alihusika na udom hiyo ni project yake ambayo kwa sababu ambazo hazielezeki haijakamilika mpaka leo hii …
 
Jamaa unathubutu kumtaja taja Mungu mara kumi kumi huku ukikemea chuki dhidi ya kikwete halafu hapo hapo wewe mwenyewe unaonesha chuki kwa viongozi ambao hukuwapenda na mbaya zaidi chuki zako unazionesha mpaka kwa watu wasiokubaliana na wewe...?!!
 
Nyie wote mnaomponda kikwete hatakuja kutokea raisi alie wajari watanzania km kikwete, sema tu hakua mpenda sifa na mambo ya show off, akija kugombea uraisi nampgia kura
Kwa hiyo kwako kipimo cha raisi bora ni kutoa ajira tu basi sio?

Wajinga wengi sana nchii ambao elimu zao zimeishia tumboni kama wewe, hata mkiona kiongozi ana sign mikataba mibovu na kufanya maamuzi mengi ya ovyo yanayohatarisha taifa huwa mnaona sawa tu mathalani mmepewa ajira na mna uhakika wa kwenda chooni.

Na hii danganya toto ya kumwaga ajira mama yenu Samia anaitumia sana, anajua wasomi wengi nchii mnawaza kupata hela ya kula na kunywa bia hivyo anawamwagia ajira za mara kwa mara mzigombanie huku yeye akiuza rasilimali bila bugudha.
 
Nyie wote mnaomponda kikwete wapumbavu wa akili hatakuja kutokea raisi alie wajari watanzania km kikwete, sema tu hakua mpenda sifa na mambo ya show off, akija kugombea uraisi nampgia kura
Utampigia kura na Wapuuzi wenzio..
 
Taja na ufisadi wao

Kwamba haujui ufisadi uliofanywa na hao watu hapo?

Hivi ule ufisadi wa Escrow baba yako kikwete hakuwemo?

Vipi na hizi hela anazotumia. ABDUL(mtoto wa Samia) kuwahonga akina Ezekiel Wenye anatoa wapi? Mfukoni mwaka sio?

Mjinga sana wewe,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…