Wengine tumesema kabla ya mada ya JAL22.
Huyo babu hana shida ya hela ni tajiri mno.
Shida ya JK ni power addiction, hayuko tayari kuishi nje ya political influence.
Shida yake ya msingi ni ‘life event’ (psychology), anachojua yeye ni kuishi kwenye maisha ya power.
Hata Dodoma (achana na kilichotokea) either unakubaliana nacho au la. Lakini JK hana mamlaka ya kupitisha maazimio ya chama,
Kibongo bongo ni ngumu kuelewa ila JK ni mental case, sio lazima uwe muokota makopo. Lakini anaitaji kupewa psychology intervention ya kuzoea kuona wengine wanafanya maamuzi.
Jamaa ana psychological problems, watoto wake awahitaji msaada ni proffesional na wako vizuri. Labda Ridhwani na hata yeye keshaiva kama mwanasiasa anaweza jitegemea.
Better still Ridhiwani ana vitega uchumi vya property kwa hela yake ya ubunge aliyowekeza bila ya msaada wa baba yake ata hakikosa ubunge ni billionaire.
Unajiuliza huyu mzee anataka nini tena, kulinda ufisadi; watoto wake wote labda yule wa mwisho. Hawana shida na hela yake. Wenyewe wana income za kutosha.
Yaani JK kalea watoto wake, pamoja na utajiri wake. Watoto wake wote ni independent hawaitaji hela yake, labda yule wa mwisho.
JK anawalemaza hawa watoto wa rafiki zake hakina Nape, sijui January. Lakini wakwake mwenyewe amewalea wajitegemee wote yeye anatoa support tu kufikia malengo.