Pre GE2025 Tuseme bila unafiki: Kikwete ni tatizo kwa sasa nchini kuliko wakati wowote

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wataje humu acheni habari za kufirika
Ufisadi sio habari ya kufikirika. Mtumishi mwenye mshahara wa milioni moja kwa mwezi anapomiliki ghorofa la bilioni 8, bado huoni ufisadi ????. Na mtu huyo hana biashara wala kilimo.
 
Matusi na hoja ni vitu mbalimbali. Sijaona ufisadi zaidi ya speculation zako ulizotoa kwa wanasiasa uchwara. Escrow? Unajua maana ya escrow? Jitahidi kupata taarifa zilizo sahihi
IPTL, Songas, Barick gold nk
 
Nyie wote mnaomponda kikwete hatakuja kutokea raisi alie wajari watanzania km kikwete, sema tu hakua mpenda sifa na mambo ya show off, akija kugombea uraisi nampgia kura
Wapumbavu kama wewe mko wengi nchi hii Ndio maana iko nyuma!!
Kikwete ni fisadi; alipokuwa Rais na marehemu Mustapha Mkullo akiwa waziri wa fedha, they floated a EURO bond na fedha waliokusanya haikuja nchini!
 

Kikwete kaingia U rais 2005 na kamaliza 2015.

Mkapa kaingia urais 1995 na kamaliza 2005.

Naomba unitajie majina ya shule za kata zilizojengwa kabla ya 2005 ya kikwete
 
 

Attachments

  • 3049818-bea797ab6cbc71c96b0e8f1726a165b5.mp4
    55.4 MB
Sisi tunajua shule zilijengwa kwa usimamizi wa Lowasa aliyekuwa waziri mkuu wa JK.

Hayo mambo ya Mkapa unayajua mwenyewe labda kama unazungumzia wizi wa pesa za EPA.

Mwambie akutajie majina ya shule za kata zilizojengwa awamu ya mkapa from 1995 mpaka 2005, uone kama atakujibu
 
 
Kama Kuna mtu kaonewa kupita kiasi na kuonyesha ukomavu ni huyu ndugu yetu...Kha!
 
Wewe ni hater hasa kwa Mh Jakaya, haikusaidii chochote kwenye maisha yako


Mtu kajipumzikia zake wewe upo busy na ngonjera zako miaka nenda rudi
 
Kuna siku nilikuwa napiga story na mzee mmoja wa Kinyamwezi mwenye umri wa miaka 85, aliniambia endapo kama Nyerere angetaka kuifanya familia yake iwe ni moja ya familia tajiri zaidi barani afrika kwa miaka mingi kama walivyofanya akina Eduardo Santos au Teodore Nguema, huo uwezo alikuwa nao.

Maana kama ni hongo alikutana nazo sana, waingereza walihaidi mpaka kumpa ulinzi kwa kipindi chake chote atakachotawala endapo kama angekubali kuwaachia rasilimali.

Imagine walikuwa wanamuita London asaini mikataba ya madini, ila yeye anawaambia subiri nikawaulize kwanza wanainchi wangu kama watakubali... kumbe ndio amewakataa hivyo, na kipindi hicho watanzania wengi bado ni mambumbu waliokuwa na elimu wachache sana... hivyo hata maamuzi mengi ya kiserikali aliyafanya mwenyewe, kwa hiyo hata angetaka kuuza migodi yote nchi hii na hela kuzifaidi yeye na familia yake kwa mwamvuli wa uwekezaji uwezo ulio alikuwa nao tena kirahisi sana.

Mimi huwa najiulizaga hivi Tanzania ingekuwa na kiongozi aina ya Samia au Kikwete au Mkapa kwa miake ile sijui ingekuwaje, sijui hata tungebakia na nini Leo..

Halafu eti unakutana na kitoto cha late 90s au 2000s kina tema shiiit na kumbeza Nyerere huku kikiwasifia hawa maraisi waliofuata ambao obviously ni madalali wa rasilimali kuwa eti ndio bora san.. huwa napatwa na hasira sana.
 
Mwambie akutajie majina ya shule za kata zilizojengwa awamu ya mkapa from 1995 mpaka 2005, uone kama atakujibu
Pia JK aliweka mtandao wa Barabara nchi nzima, hii huwa hawaisemi, wanaangalia mabaya yake tu
 
Matusi na hoja ni vitu mbalimbali. Sijaona ufisadi zaidi ya speculation zako ulizotoa kwa wanasiasa uchwara. Escrow? Unajua maana ya escrow? Jitahidi kupata taarifa zilizo sahihi
Wewe ni mjinga tu mmoja ambaye ulikuwa ni mnufaika wa utawala dhaifu uliokumbatia ufisadi wa kikwete.

Hebu niambia report ya PAC ilisemaje kuhusu sakata la Escrow? Huyo mkwere dk za mwisho hakuwaambia wezi wenzake wazirudishe zile pesa kisha akakaa kimya baada ya kumtumbua Tibaijuka kinafiki? Hivi kweli kama angekuwa hajahusika na ule ufisadi angeacha kuwachukulia hatua?

Haya tuachene na huo wa Escrow, vipi na ufisadi wa Richmond nao pia hakuhusika? Hebu kataa na hapa kuwa hakuhusika mtetezi wa mafisadi wewe
 
Mkapa hajawahi kujenga shule za kata
Wewe jamaa una upumbavu mwingi sana kichwani na chuki kwa maraisi wengine ambao walikuwa bora kuliko hata huyo kikwete wako.

Kwamba shule za kata zile ambazo zilianza kuchukua wanafunzi 2005 January zilijengwa na nani? Kikwete sio?
 
Siku hizi Kikwete anadai kila mradi alianzisha yeye.. Ikulu ya Dom, SGR, Bwawa la Nyerere etc..
Sio yeye anayedai ni machawa wake ambao waliufaidi utawala wake dhaifu na wengine ni sababu za kidini tu zinawatuma, na wanasema hivyo katika namna ya kubeza utawala wa Magufuli kuonesha kuwa hakufanya au kuanzisha chochote.
 
Aisee,
Shida ni nini,embu kuwa muwazi.
 
Yes na wanajifanya watu wa haki na demokrasia kumbe ni matapeli tu.
Wajinga hawajuagi kuongoza nchi, zaidi ya kuendekeza anasa tu na kujinufaisha wao na syndicates zao huku majority ya watanzania wakiteseka wenye hali ya chini, sababu nchi inakuwaga ni ya wachache sana wenye nguvu ndio wanaifaidi maana huwa wanafanya chochote wanachojiskia yaani bila hofu ya kuchukuliwa hatua.

Nakumbuka Kitana alikuwa anadhulumu sana watu kwenye shughuli za uvuvi huko ziwa Victoria, wavuvi wengi sana wadogo wadogo wameumia kwa kunyang'anywa mitumbwi yao na kitana kisa tu walikuwa wanavua karibu na kisiwa chake...

Alipoingia chuma madarakani alipigwa biti moja tu ule uonevu wote ukaisha na kila mtu akawa anavua kwa uhuru bila hofu yoyote hata kwenye maeneo ambayo kitana alikuwa amaye monopoly kuwa anavua peke yake yake tu.

Sasa hivi unaambiwa ule uonevu umerudi kwa kasi, na hakuna tena mvuvi mdogo anayesogelea kwenye himaya yake, yaani jamaa amerudi tena kuogopwa kama awali...

Na hakuna hata anayejali sio waziri wala raisi kwamba kuna wavuvi wadogo wadogo wanaonewa huko visiwani.
 
JIWE JPM alaaniwe popote alipo na Mifupa yake na Kivuli chake na Sanda yake na Kaburi lake vilaaniwe kabisa siku ya Mwisho akifufuka Afufukie mbali na Watakatifu wengine.
Sipendi anayoyafanya Shosti yenu wa Kizimkazi lakini Kikwete Muacheni.
 
Mwambie akutajie majina ya shule za kata zilizojengwa awamu ya mkapa from 1995 mpaka 2005, uone kama atakujibu
Kwani zile shule za kata zilizoanza kuchukua wanafunzi tangu mwaka 2005 January zilijengwa wakati wa raisi gani? Baba ako kikwete ndio alizijenga sio? Licha ya yeye kuingia madarakani mwaka huo huo mwezi wa 12 eeh?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…