Pre GE2025 Tuseme bila unafiki: Kikwete ni tatizo kwa sasa nchini kuliko wakati wowote

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwani zile shule za kata zilizoanza kuchukua wanafunzi tangu mwaka 2005 January zilijengwa wakati wa raisi gani? Baba ako kikwete ndio alizijenga sio? Licha ya yeye kuingia madarakani mwaka huo huo mwezi wa 12 eeh?
Zitaje majina hizo shule za kata zilizojengwa kabla ya 2005. Mimi sizijui.

Nitajie majina yake
 
Zitaje majina hizo shule za kata zilizojengwa kabla ya 2005. Mimi sizijui.

Nitajie majina yake
Mjinga sana wewe nenda mwanza huko, wilaya ya Nyamaghana tu kuna shule zaidi ya tano zilizoanza kujengwa 2003 na kisha kuanza kuchukua wanafunzi 2005 ambazo baadhi ni
1)Mbugani Secondary
2)Olenjolay(jina la mkuu wa mkoa wa wakati huo)
3)Nyamanoro Secondary
4)Mahina Secondary
5)Nyaburogoya

Tatizo huna taarifa halafu unaongea kwa kujiamini sana mpuuzi wewe.... endeleen kumtukuza huyo fisadi aliyekubuhu baba ako kikwetena kuwaona maraisi wengine sio chochote
 

Ha ha ha shule za kata zilijengwa mkoa mmoja mwanza tu. mikoa mingine kama Dar haikujengwa hata moja

Ukiwa Muongo uwe mjanja pia.
 
Ha ha ha shule za kata zilijengwa mkoa mmoja mwanza tu. mikoa mingine kama Dar haikujengwa hata moja

Ukiwa Muongo uwe mjanja pia.

Ni wapi nimedanganya?

Umeuliza ni kutajie shule ya kata hata moja iliyojengwa enzi za mkapa, haya nimekutajia hapo.. halafu unaanza kuleta vimaneno vya kinisuta.

Bila shaka utakuwa gen z wewe hakuna unachokijua kuhusu utawala wa Mkapa.
 
 
One thing in your mind, hata kama hutamchagua Rais, lakini atakuwa Rais wako, Dodoma Kuna dimba la mpira wa Miguu Lina uwezo wa kubeba watu 32,000, litagharimu bilioni miatatu na point.
 
Kwamba hii nchi imevurugwa??🤣🤣🤣
 
Wanajua watanzania hawajui kutumia mamlaka yao kuwawajibisha. Wanasahau kuwa kila jambo lina mwisho wake.
 
Huyu mzee ndiye yuko nyuma ya uhuni wote unaofanyika
Kajinyakulia jukumu la u-King Maker wa mchi hii katika kipindi akiwa bado hai, yaani kisha jihakikishia marais wajao hadi 2040 ni maswahiba wake yaani after SSH anaingia Nchimbi.
Ni kuhakilisha tu madudu yote yale ya Escrow, Meremeta, Tangold Richmond na memgine hayafufuliwi na kushughulikiwa ipasavyo
 
ENzi zake nchi ilikua hoi Magufuli akajaribu kutuokoa hakuishi sasa nchi imerudi kule kule
 
Raisi pekee aliye kuwa na machungu ni mkapa, japo nae hakuwa perfect ila angalau ali umia.
Alikuwa na machungu pamoja na kuuza kila kitu kwa jina la ubinafsishaji?! Madudu yote yale ya Meremeta, BoT, EPA n.k halafu unataka kutuaminisha alikuwa na uchungu?! Hayo yote hayatokana na human imperfection bali kukosa uchungu!
 
Ule upuuzi wa kumpitisha Samia kihuni kule Dodoma,na JK anaunga mkono,nilimdharau sana aisee!
Watu wa Pwani ni wanafiki na wabinafsi sana🙌
 
Ianeni tuu huko who cares by the way
 
Njia pekee ni ccm kuondoka madarakani hata ikilazimu kwa Coup D'etat. Kwa sababu tumechoka, yaani tumechoka, mnajua kuchoka...!!
 
Ongeza Igoma, hapo nayo imeanza 2005
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…