Pre GE2025 Tuseme bila unafiki: Kikwete ni tatizo kwa sasa nchini kuliko wakati wowote

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Pia alikuwa shahidi Kwa mtu aliyetupiga kule ubalozini italy
 
Kwakweli huyu mzee wa Msoga ni tatizo na janga kwa Nchi. Kitendo cha ku-influence kikao cha mkutano Mkuu wa tarehe 19.01.2025 kwa kutuletea SSH kakosea sana kama mgombea 2025, yeye alishamaliza ngwe yake, kiherehere ni cha nini, si atuache waTZ tupate mgombea kwa kufuata sheria na taratibu badala ya kufanya retrospective approvals which does not hold water?
 
Mkuu huku chamani kwetu kwa sasa hatuna kijana shupavu mwenye uchungu na raslimali za Nchi na kuona HAKI inayendeka; kama yule wa Upper Volter.
 
Na kwa makusudi makubwa na mema ya Nyerere hayaandikwi wala kusimuliwa kwa vitoto vya 2000 na 1990. Vimebaki kushabikia ujinga. Leo mla rushwa ni mjanja, mwenye akili na mwekezaji. Miaka ya Nyerere alizomewa.
 
Zitaje majina hizo shule za kata zilizojengwa kabla ya 2005. Mimi sizijui.

Nitajie majina yake
Nendeni wizara ya Elimu mtakuta kumbukumbu kuwa shule za kata, zilijengwa na Edward Ngoyai Lowasa Waziri mkuu wa wakati huo,, kabla hajajiuzulu 2007. Mpaka zikaitwa Secondary za Lowasa. Na akawa na usemi wake Elimu, Elimu, Elimu.
 
One thing in your mind, hata kama hutamchagua Rais, lakini atakuwa Rais wako, Dodoma Kuna dimba la mpira wa Miguu Lina uwezo wa kubeba watu 32,000, litagharimu bilioni miatatu na point.
Mzee Jiwe alikuwa na ndoto zake za kujenga uwanja wa capacity ya 100,000 (Mwaka 2019) hapo Dodoma, fedha ya ujenzi ilitengwa na maandalizi yalianza ila mzee jiwe alilala mauti 2021 huku mchakato wa ujenzi ukiendelea.

Leo mwaka 2025 Kunajengwa uwanja wa capacity ya 32,000 Makao makuu ya Dodoma kwa bilioni 310....

alafu kuna kenge hawa vibaraka wanasema wanajenga uwanja mkubwa sana Dodoma😂😂😂

Inasikitisha sana....!

Endelea kusherehekea upigaji.
 
Niwie radhi mkuu, pengine sijaeleweka vizuri
 

Chama kinaona mbele . inatia huruma

 
Nimependa pale umesema tulitegemea amshauri samia kwamba apishe. Badala yake ameunga mkono upokaji wa haki ya wanaccm kugombea nafasi kuteuliwa kugombea urais. Samia alirithi tu urais kutokana na kifo cha mtu aliyekampeni na kuchaguliwa kua rais. Eti machawa wanatuambia mama anagombea kipindi cha pili wakati wanaccm wote wanajua hakua na kipindi cha kwanza maana alirithi kipindi cha pili cha Magufuli.
 
Uchawa unalitafuna taifa
 
Wewe nawe, hebu nenda kalalwe huko. Unakuwa na chuki kwa mtoto wa mwanamke mwenzio mpaka kero
 
Kikwete ni shetani aliyeuza nchi yetu tangu akiwa waziri wa Mwinyi hadi alipopata urais. Haya madude yote ya Dowan, Kagoda IPTL na mengine mengi ni matunda ya kazi ya habithi hili jambazi. Natamani lingekufa hili badala ya mshamba Jiwe. Kuna haya ya kuchunguza uhusiono wake na huyu Maza hasa ikizingatiwa alivyo mwingi na namna wazenj walivyo open check pale chinii. Isije ikawa tuna new secret couple in power.
 
Na akitoka Bi tozo, Ritz Carlton anachukua kijiti. Hutaki hamia burundi
 
Wewe nawe, hebu nenda kalalwe huko. Unakuwa na chuki kwa mtoto wa mwanamke mwenzio mpaka kero
Huwa siwajibu mashoga na wafirwaji ila Acha nikujibu kubwa jinga wewe.

Licha ya kuwa chawa lakin bado umasikini utaendelea kukuandama wewe na ukoo wako.
 
Huyo ni shiida, na hv wastaafu ma prezda wenye big brains wameshavuta wamebaki makanjanja ndio balaa zaidi!
 
Umeandika upuuzi kwa kumlaumu Mzee wa watu kutumia stori za vijiweni
 
Huwa siwajibu mashoga na wafirwaji ila Acha nikujibu kubwa jinga wewe.

Licha ya kuwa chawa lakin bado umasikini utaendelea kukuandama wewe na ukoo wako.
Hivi kwanini baadhi ya wanawake mkiwa period mnakuwa na hasira na chuki sana?!!!!! Unamchukia mtoto wa mwanamke mwenzio utafikiri hujui uchungu wa kuzaa dada wewe. Sio vzr hivyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…